vita ya dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Picha: Kim Jong Un na binti yake Kim Jung Ae kwenye mazoezi ya kufyatua risasi

    Wakuu, Kiongozi wa North Korea, Kim Jong Un, pamoja na binti yake walionekana wakifyatua risasi za bastola wakati wa ukaguzi katika kiwanda cha kutengeneza silaha ndogo, kulingana na picha zilizochapishwa na vyombo vya habari vya serikali Alhamisi. Shirika rasmi la habari la serikali, Korean...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga Kusema Haituhusu. Vita ya Iran na Israel Inaweza Kuirudisha Tanzania Enzi za Ujima

    JE, VITA YA TATU YA DUNIA INAWEZEKANA? Tafakari ya Kiuhalisia Kutoka Hiroshima hadi Enzi za Mtandao na Droni Ndugu msomaji, Usikie sauti hii kama ya mwandishi wa barua kutoka siku za mwisho wa dunia. Sio barua ya matumaini, bali ya ukweli usiopendeza. Dunia yetu iko kwenye kingo za shimo...
  4. The Guitarist

    JamiiForums Tanzania Wafahamu watukutu wa vita wa kifrika waliokuwa wa mwisho kujisalimisha katika vita ya kwanza ya dunia

    Habari za wakati huu ndugu msomaji wa makala zangu za kihistoria, leo katika historia nakuletea watu mashuhuri sana katika historia ya Tanganyika na namna wameitengeneza nafasi yao katika jukwaa la kihistoria kupitia jasho na damu Je! ni nani hao, na kwanini nimewaandika katika makala hii fupi...
  5. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani. Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: Tukiepuka vita ya Dunia basi lazima tuangukie kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo

    Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo. Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable things, either world war ama pandemic. Gates anasisitiza kwamba hivyo vitu ndio vinampa mawazo sana...
  7. jmushi1

    JamiiForums Tanzania The Telegraph: Sababu zinazoonyesha kuwa WW3 haiwezi tena kuzuilika!

    Why it’s too late to stop World War 3 Apocalypse now: a nuclear test in French Polynesia, 1970 - Science History Images / Alamy Stock Photo Hebu fikiria, kwa muda, kwamba serikali ya Iran inatangaza kuwa imetengeneza bomu la nyuklia na kutishia kulitumia kwa Israeli. Marekani inakabiliana na...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Kaa chonjoo mwana JF Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
  9. L

    JamiiForums Tanzania NATO inaigeuza vita ya Russia na Ukraine kuwa vita ya dunia

    Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg hivi karibuni alifanya ziara nchini Marekani, lengo likiwa ni kujadili mwendelezo wa kuiunga mkono Ukraine na kuhakikisha mwendelezo wa upatikanaji wa silaha kwa Ukraine, wakati vita kati ya nchi hiyo na Russia ikiendelea. Hii inajumuisha kuridhiwa kwa...
  10. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na ufadhili. Harakati zake hazikuwahi kuwa nyepesi, Hali bora ya maisha ya wananchi wake haikushuka kama...
Back
Top Bottom