visiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Juhudi za udhibiti wa kichocho za China zawaokoa maisha Visiwani Zanzibar

    China ni nchi kubwa inayoendelea, ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira yanayoendana na nchi husika. Kwa kupitia njia mbalimbali, China imekuwa ikitoa misaada kwa nchi hizo katika sekta...
  2. The Tomorrow People

    Visiwani Kunani?

    1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu. Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
  3. Fbn

    Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  4. Penguinelli Cactussini

    Kwanini kuna siku ya uhuru wa Tanzania bara na hakuna siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?

    Umemsikia Mwigulu? kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani? Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’ ila wao hawatumii title ya siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani ila wanatumia Mapinduzi ya Zanzibar?
  5. F

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  6. N

    Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  7. The Father of All

    Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  8. GENTAMYCINE

    Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge kutoka Zanzibar adai wabunge wa bara wanapendelewa kuliko wa visiwani

    Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  10. O

    Hizi ndio kazi ambazo ungeweza kuzifanya visiwani na kutoboa

    Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo. Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke. 1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi 2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za...
  11. ngara23

    Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
  12. L

    Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  13. Faana

    Hili jengo litaleta sura mpya visiwani

    Nimeiona hii huko mtandaoni sihitaji kueleza;
  14. Fantastic Beast

    Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  15. T

    Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

    Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala. Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
  16. winnerian

    Kutoka Dunia ya Tatu hadi Kwanza: Tanzania na Ustawi wa Kiuchumi wa Mikoa yote, bara na visiwani

    1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya maisha? 2. Tumeishi kwa matumaini ya maendeleo, lakini bado tunaonekana kubaki nyuma licha ya...
  17. M

    Visiwani kuanza uchimbaji gesi kabla ya LNG ya Lindi?

    Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato...
  18. M

    Ushindi wa Zanzibar dhidi ya Guinea unaonesha kuwa Visiwani kuna hazina ya wachezaji wazuri

    Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi). Uzi tayari. Guinea 1-2 Kizimkazi FT
  19. Pfizer

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  20. Blender

    Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
Back
Top Bottom