Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mfumo wetu wa Visa kwa watalii na ndio sababu kwa sasa watalii wengi wanakuja bila VISA (na ndio msimu umeanza hatujui huko mbeleni itakuwaje?)
Wageni wanalipia VISA ila wiki mbili hadi mwezi unapita hawajapata majibu, Status pending/in process? Na ujue...