Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
Serikali ya Uganda ipo katika presha kubwa ya kusambaa kwa Virusi vya #Ebola baada ya wanafunzi 6 kukutwa na maambukizi jijini hapo.
Idadi hiyo inafanya jumla ya waliokutwa na maambukizi #Kampala kufika 15 kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Jane Ruth Aceng ikiwa ni siku chache tangu Serikali...
Kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya kutokuwa hai pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe.
Inakuwaje sasa tunaambiwa HIV haambukizwi kwa mashine za kunyolea...
Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika.
Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna ushahidi kwamba inaweza kuambukizwa zaidi ya aina ya awali.
Walichambua sampuli kutoka kwa kisa cha...
Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho
Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
Afisa Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali ya Mangaka Wilaya ya Nanyumbu, Janeth Chikawe ameeleza kuwa Mkoa huo umekuwa na idadi kubwa ya wazazi ambao hawawapeleki watoto kupata dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa kuwafungia ndani.
Amesema watoto wengi wanaokosa huduma hiyo ni wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.