vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vipi kama katiba tunayoidai ikaja na tusio ya hitaji?

    Salam. Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini tutafanya ikiwa katiba tunayo dai ikaja na hiko kipengele? Tutabaki na hii au tutapitisha hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  3. JamiiForums Tanzania Jumapili unamalizia vipi mi napiga vitu

    Week Mzima unakula kazi ila weekend vyombo niende kuongeza uchangamfu
  4. JamiiForums Tanzania Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

    Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
  5. JamiiForums Tanzania WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

    Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako. Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
  6. N

    JamiiForums Tanzania Unaweza vipi kuishi sehemu ambayo wenyeji wanawapiga vita wageni?

    Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka...
  7. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini Watanzania tunafaidika vipi na gas ya Mtwara?

    Bei ya gas hipo juu Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  9. JamiiForums Tanzania Tanesco Idara ya Maji vipi mnamuhujumu Rais ?

    Kuna kelele za maji na Umeme kila kona tatizo ni nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
  11. JamiiForums Tanzania Hata Maisha yakukabe vipi Usidhulumu au kutapeli mtu

    Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
  12. JamiiForums Tanzania Bikra ya kutengeneza na bikra original nitaitambua vipi?

    Ndugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa. Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila akanambia nimuoneshe wifi, nikasema sawa, EEH bhana ninemuonesha TU hivi alipo MUONA akaguna mmh...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  14. JamiiForums Tanzania Vipi umeshawahi kuharibu kitu cha rafiki yako? Mlimalizanaje?

    yaani unaachiwa kitu na rafiki yako mfano laptop mara inakuzimikia na bahati mbaya kuna vingine hata ukipeleka kwa fundi havifai tena kutibika au spea unakosa. hapo ni mawili ulipe pesa au urafiki pia ufe mazima. mm kama mimi sinaga tabia ya kulipisha mtu kitu. iliwahi nitokea nimenunua...
  15. JamiiForums Tanzania Godoro la Goldson vip lina ubora kwa mliotumia au vipi

    Habari wakuu napata utata kidogo kuhusu godoro imaraa naombeni ushauri godoro la godson lipo imara kweli au nitakuwa nimepigwa nikichukua maana nawaz nichukue godson au QFL dodoma Naombeni mrejesho
  16. K

    JamiiForums Tanzania Machawa: Kumteka house boy kunamsaidia vipi Mama

    Yaani unaenda kuteka ma houseboy wa viongozi wajinga jinga upinzani kumtisha nani! Usalama badala ya kufanya kazi wanashinda kuvuzia Mpaka ma house boys. Mama ananufaika na nini hasa? Mnawasaidia sana wenye kesi za mauaji huko
  17. JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
  18. JamiiForums Tanzania Unaitazama na kuitathimini vipi Tanzania ya baada ya miaka 50 kutoka leo?

    Karibuni🇹🇿
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Tupeane uzoefu ulifanyaje, ulijinasuaje, ulimchomoka vipi au ulishinda vipi kesi Polisi/Mahakamani?

    Kwema Wakuu. Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini. Kuanzia polisi mpaka mahakamani na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

    Hodi wana jamvi, Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…