vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Nina deal vipi na ndugu wanaojihisi wapo enitled na pesa zangu, kujitamba kwamba wanajichotea tu

    Entitlement kwa ndugu wa kiafrika ni tatizo kubwa sana, mtu anajihisi kwamba kwavile ndugu yake kafanikiwa basi ana haki ya kupata sehemu ya mafanikio ya ndugu yake, nadhani hata wachezaji wengi wa kiafrika wamelalamika hili jambo kwamba ndugu wanahizi matatizo yao yote inabidi yashughulikiwe na...
  2. JamiiForums Tanzania Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  3. N

    JamiiForums Tanzania TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
  4. JamiiForums Tanzania Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi inajeshi lake 4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Soka linaweza kushirikiana vipi na Sekta ya Utalii ili kukuza utalii?

    SA Tourism ama Bodi ya Utalii ya Taifa la Afrika ya Kusini ilitangaza kuwa imepeleka proposal yake ya kutaka kudhamini moja ya timu kongwe iliyopo Jijini London, Uingereza. Fedha ambayo ilipigiwa hesabu ni dola milioni 52 za kimarekani katika mkataba ambao utakuwa ni wa miaka mitatu. Mkataba huo...
  6. JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungejitetea vipi?

    Mzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe. Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?" Juma: Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuelezeka. Mudi: Kwa hiyo nini kilichotokea ambacho ni kibaya sana? Juma: Ngoja...
  7. JamiiForums Tanzania Simba hapo vipi??

    Unaweza kuona ni makosa madogo lakini ni makubwa kwa ukubwa wa Simba na hadhi ya mkutano wenyewe!
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

    Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini, Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  10. JamiiForums Tanzania Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

    Hivi ndo baadhi ya wasichana wa shule za upili wanavyovaa shuleni.
  11. JamiiForums Tanzania Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unalisha familia ya Demu, vipi kuhusu yako?

    Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake? Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu. Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Naweza vipi kuishi Pasina kuyatilia sana Maanani haya Maisha?

    Ivi Umewahi kufikiria hili? Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia. Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi watu mna-handle vipi hii situation

    Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu. Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mliweza vipi kuoa?

    Unajua najiuliza , hivi nyie mliooa mliona nini kwa wake zenu that other women dont , maana mimi kila mwanamke naona the same characteristcs , yani shida shida , ukipata atleast ana a very terrible past , yani kauza sana , mimi na very good history from exs, karibu wote wana admit , wao ndo...
  18. JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

    Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana. Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
  20. C

    JamiiForums Tanzania TBC vipi haionekani kwenye kifurushi cha bure dstv

    Kwema wakuu, Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…