vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

    Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee.. So ili niache Kwa amani...
  3. JamiiForums Tanzania Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako? 😊 good night african beauty Bantu Lady Nyiewengine lolote liwakute😅
  4. V

    JamiiForums Tanzania Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi kulea watoto shida ni . tunaishi mimi na baba watoto na wifi yangu pamoja na watoto wawil wadog ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Kama iliwahi kukukuta, nambie ulijinasua vipi kwenye hili balaa?!

    Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini. Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini kimenipata mpaka sasa. Kama miezi saba {7} imepita nilikua katika PENZI strong sana, Ambalo lilidumu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
  8. JamiiForums Tanzania Mpangaji kama huyu unadili nae vipi?

  9. K

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe Dar ni vipi?

    wakuu Nimekusanya nguvu kidogo nipo njiani kuja jiji la Chalamila Huku Mbeya nimezoea kuburudika kwa bia na watoto wenye mizigo ya haja hapa mbeya pazuri yaani tunakesha amna kama popo full watoto mziki na bia unajistarehesha na pesa zako Sasa nakuja huko, naombeni mnipe kiwanja kitakachonipa...
  10. JamiiForums Tanzania Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
  11. JamiiForums Tanzania Uchumba unazungumzwaje kwenye biblia?

    Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu uchumba kwa sababu mtazamo wa Mungu wahitilafiana na ule wa dunia (2 Petero 2:20). Huku ikiwa mtazamo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Katika mida ile ya kutafuta, inafikia hatua unakula ili uishi yaani unakula chochote. Mimi nishakula ugali na chumvi mixer maji ya kunywa. Wewe je ?
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kodi zinalipika vipi jamani?

    TRA kuweni serious ! Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya Biashara anataka Kodi kabla sijaingia. Mwenye Nyumba ya kuishi anataka kodi kabla sijaingia,Manispaa...
  15. JamiiForums Tanzania Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

    Watu tumeshajikoki tayari kufinya cha mtume, hao bakwata bado tu wanajimumunya? --- Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr. “Leo April 09,2024 nimepokea taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

    Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi mke wa kutafutiwa anaweza kudumu kwenye ndoa?

    Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa. Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu (Kwa mujibu wake), jamaa yake mmoja aliepo kigoma akamwambia Kuna Binti anamuona kanisani na...
  19. JamiiForums Tanzania Round Moja ya fasta haitoshi kama vipi bora kuachana hii kauli imenicost mara kadhaa japo sijaiacha

    Shalom, Hii kauli imenicost sana kwa baadhi ya mademu. Kuna ile hali unabembeleza demu aje ghetto kisha baada ya Msoto wa kubembeleza demu anakuja. Kimbembe ni pale amekupa round Moja ya fasta, anaingia bafuni kuoga, huku wewe dudyu ishajaa upepo tena ila anatokea unamdaka ili akupe cha pili...
  20. JamiiForums Tanzania Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…