vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  2. JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hawaniambii wamefika vipi, wanasisitiza nisikate tamaa

    Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,” lakini ukimuuliza amepitia nini mpaka akafika hapo, si rahisi kukueleza kila kitu. Kuna mambo aliyapitia...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
  4. JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

    Ana mwaka 1 na mwezi 1 ana meno 16!! Je hii ni kawaida ?
  6. JamiiForums Tanzania Tutaridhiana vipi na watu tusio waona? Wasiojulikana?

    - kuna chuki na uhasama uliosababishwa na wanaoitwa wasio julikana wakiteka , kupoteza na kuuwa raia. yawezekana ni haohao hapo juu ndio walioua ndugu zetu kwa maelfu oct 29. yawezekana ndo haohao huwa wanapora michakato ya uchaguzi wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na rais kwa kuiba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wanachopitia CHADEMA vipi kama Mbowe angekuwa Mwenyekiti?

    Matukio yanayoendelea tangu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA, Januari mwaka jana,unanipelekea kufanya tafakuri na kuhutimisha kuwa ushindi wa Lissu na Heche, umekuea " game changer" kwa siasa za Tanzania. Jaribu kufikiri misukosuko ambayo CDM imepitia, kisha Mbowe na wafuasi wake wangekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ubabe- Netanyahu kaulizwa vipi kama ICC ikimkamata?

    kweli hii dunia ina wenyewe, duh, sikiliza mwenye jibu lake ... == Sean Hannity: "...me in this sense for you. Um, you travel internationally?" Benjamin Netanyahu: "Yeah." Sean Hannity: "God forbid you had a medical emergency, you need to land and you're about to land in a country that...
  9. JamiiForums Tanzania Vipi NMB, mbona App yenu inazingua?

    Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla. Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jamani hapa Vipi! Kutambua Cheupe(DAR) Vs Rainbow Gril(DOM), wapi Bomba

    Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
  11. JamiiForums Tanzania Unajilinda vipi Na magonjwa ngono ukiwa ndani ya ndoa?

    Kuna watu wakishaoa au kuolewa tayari jukumu la kulinda afya zao wanawachia wenza wao. Yani anaamini kwa kuwa na mtu huyo huyo hataweza kupata magojwa? Swali je mwenza wako ni mwaminifu? Je utajilinda vipi ukiwa ndoani?.
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu, mnapambana vipi na changamoto za ununuzi wa bidhaa nje ya nchi?

    Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni. Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao biashara. Nikapiga mahesabu, mpaka nizilete hapa bongo, naweza kupata faida mara mbili. Nikawasiliana...
  13. JamiiForums Tanzania Vipi kama Gen Z wa sasa hivi ni wa kijani?

    Najaribu kuangalia hii tunayoiita Gen Z,lakini nahisi hii ya sasa siyo kama ile.Nahisi labda watu WA chama kile ndio sasa wanajiita GenZ. Lengo kuzua taharuki na kujifanya wanapambana nayo,kisha ionekane imefeli. Hii nayo ni mbinu. Samahani wakuu,huu ni mtazamo na hisia zangu.Sina uthibitisho...
  14. JamiiForums Tanzania Hapo vipi?

    Sasa itakuwaje?
  15. JamiiForums Tanzania Wenzangu huwa mnaishi vipi na watu wabahili?

    Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM Simiyu inakaaje kimya?

    Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa. Je, ukimya huo unatokana na tahadhari kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama mwakani, au ni dalili ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaosema Simba ni timu bora na wanastahili kombe wanatumia vigezo vipi

    Ukiangalia ligi ya Tanzania kuna vituko sana na moja ya kituko ni mtu anakuambia simba ni timu bora na imeonewa na marefa ndo sababu ya kutokuchukua kombe ebu tuangalie takwimu zifuatazo Timu iliyotoa mfungaji bora sio simba Timu iliyotoa top assist sio simba Timu iliyofunga magoli mengi sio...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi kama katiba tunayoidai ikaja na tusio ya hitaji?

    Salam. Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini tutafanya ikiwa katiba tunayo dai ikaja na hiko kipengele? Tutabaki na hii au tutapitisha hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi vipi, imekuaje Kila Kona ni malalamiko na vilio?

    Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
  20. JamiiForums Tanzania Jumapili unamalizia vipi mi napiga vitu

    Week Mzima unakula kazi ila weekend vyombo niende kuongeza uchangamfu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…