viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

    Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu. 1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi 2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache. 3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote 4. Tuendeeni...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  5. JamiiForums Tanzania Kama leo ilikuwa sensa ya viongozi, kulikuwa na umuhimu gani wa kutokwenda kazini?

    Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali. Leo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wenye tamaa wanavuna na kuiba Pesa nyingi ili waweze kununua Urais 2025

    Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025. Takukuru, jeshi la polisi, na...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu nao wanahitaji viongozi wa kuwaongoza??

    Wakuu. Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi. Inaction is everywhere. Inatokea issue critical ambayo inahitaji maamuzi ya haraka , kila mtu anabakia kumtegea mwenzake. Kiongozi badala ya kutake action naye anabakia...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kodi na Tozo nyingi kwa Nchi kama Tanzania ni kipimo tosha kuwa viongozi waliopo hawatufai

    Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato? Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo? Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania CCM yawaonya viongozi wanaodhalilisha Wanawake

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, wilayani Sikonge mkoani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kujua idadi sahihi ya wakazi na makazi ya watu; Mfumo wa uhesabuji sensa ya watu na makazi watumike mabalozi na viongozi wa mtaa?

    Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA. Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla. Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa. Natoa...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

    Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba anzieni hapa: Inonga aliuza mechi

    Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission yake tangu mwanzo ilikuwa apate red card ilivyoshindikana akaamua kujiabisha mazima Mtamlaumu...
  18. JamiiForums Tanzania Wanasimba kwa mzungu hakuna mchezaji pale Viongozi mtambue hilo!

    Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba! Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uzungu huu na ukaidi wa viongozi wa simba kazi kesho tunayo

    sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto ya Uwajibikaji wa Viongozi Ngazi ya Kata

    Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo ndogo katika kata kama vile Ulipiaji taka hii ni mojawapo ya changamoto inayonikumba mimi binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…