viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  2. JamiiForums Tanzania Wito: Mdahalo uitishwe baina ya Lissu na viongozi wa CCM kuhusu hoja ya 'ubaguzi wa kimuungano'

    Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja. Lissu ametoa hoja zake akijificha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Israel kuanza kujifungia ndani kuogopa kukamatwa na ICC

    Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel. Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Nchi kadhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba 2022 Zoran Mac Septemba 2022 - Januari 2023 Juma Mgunda Januari 2023 -...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hujaoga wiki nzima kwasababu ya mgao wa maji unatoa wapi nguvu ya kusifia viongozi mtanzania mwenzangu ?

    Na hata nguo zenyewe umerudia bila kuifua basi ni tafrani tupu
  8. JamiiForums Tanzania Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

    Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

    Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea sintofahau kila kukicha msemaji wa yanga Ally kamwe ansema kuwa Pakome yupo tayali na ni mzima wa afya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kuwalaumu Kwa hasara za majengo Dar na Ufanisi wa Bandari ni hawa

    Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje. Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

    “Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa kupata viongozi ni sahihi?

    Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu asiye na Mapungufu, tusilaani Viongozi

    Nimeona Viongozi wa awamu mbalimbali nchini,kwenye kada tofauti,kasoro mkoloni.katika medani ya siasa na uongozi maeneo mbalimbali, wengi wao wamepata umaarufu baada ya kuondoka madarakani,walipigwa Kwa maneno magumu ya kuwalalamikiwa na kuwalaani wakiwa madarakani. Kila mtu ni malaika akiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu muungano wannchi hatukuulizwa , waliungana viongozi na sio wananchi

    Tangazo La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya wazi ili tuweze kusonga mbele. Mambo ya kukaa viongozi wawili ati ni muungano hapana.
  15. JamiiForums Tanzania Unapopata nafasi ya kuwa karibu na Viongozi zingatia haya

    UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa wanaokuzidi maarifa/ elimu / kipato / kipawa / ushawishi / mvuto / cheo, kwa lengo la kupata nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi viongozi na wazee wa simba wamuomba Mohamed dewji abaki asiondoke kama mwekezaji

    Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
  17. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili 3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  19. JamiiForums Tanzania Kutokana na hila zenu viongozi basi na sisi hatufanyi kazi vema

    Habari wanajukwaa.Juzi nimeenda hospitali ya serikali kupata tiba ya mteguko wa miguu baada ya mazungumzo ya awali Kati ya dokta na mgonjwa (diognosis)dokta akaniambia hawana vifaa pale ila nichukuwe namba yake atakuja kunitibu nyumbani na hakika alikuja. Na kunasiku tena nikamchek dokta fulani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu-proactiveness mbona zero? Au tunasubiri maafa tuunde tume na team za misiba?

    Fungua attachment 1 na 2 chini. Hilo ni daraja kuu Mwanza, uhuru kwa chini. Ukipita juu ya daraja limeshaanza kumomonyoka picha namba moja. Ukikaribia kulia utaona daraja kubwa hilo lote limejaa mchanga upande wa maji yanapoingilia kweye daraja (picha na 2), huo ni mchanga vimaji hivyo vinapita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…