viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”

    Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi - Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata...
  2. Mwananchi amwambia Waziri Masauni “Kuna Viongozi wanawalinda Waharifu waziwazi, hatuwataki hao.”

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefika na kusikiliza kero za Wananchi wanaoishi maeneo ya Viwanja vya Mtaa wa Barafu Kata ya Mburahati Wilayani Ubungo wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara. Waziri Masauni ametoa taarifa ya...
  3. Viongozi wetu wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja!

    Heshima kwenu wanajamvi, Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee. Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili...
  4. AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  5. Bashungwa akemea tabia ya viongozi katika kata kuchonganishana

    BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu Wilayani Karagwe kuvutana na kuchonganishana na kupelekea kuchelewesha utoaji wa huduma kwa wananchi...
  6. Najiuliza bila kupata majibu, ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?

    Habarini za wakati huu. Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao. Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa kupambanua mambo, mimi sijabobea katika siasa lakini atleast naweza kuona na kuelewa mienendo ya viongozi...
  7. S

    Rais Samia, shughuli za uapisho nchini ni gharama kubwa zisizo za lazma, Viongozi badilikeni

    Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya? Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani? Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
  8. Hivi ndivyo viongozi tuliowaamini wanavyotafuna nchi juu ya migongo yetu. Sijui lini tutaamua kusimama!!

    Sijui huu ulofa tuliutoa wapi?
  9. Kwanini watoto wa viongozi wa umma hawasomi shule za umma?

    Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
  10. L

    Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  11. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  12. Kuna haja ya kuweka mchujo mkali kwenye chaguzi zetu ili kupata viongozi bora

    Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu. Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
  13. Kwanini viongozi hawakatwi kodi?

    Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
  14. Viongozi wa Africa msikimbilie kukopa na kuongeza kodi, mnatakiwa kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa taifa

    Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far. Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu. Kwa mfano...
  15. Simba muwape wanachama wenu elimu ya mpira ili kuepusha maafa na presha kwa viongozi, muwaambie ukweli!

    Ni jambo la hatari sana ambalo viongozi wa Simba wamekuwa wakilifanya bila wao kulitambua nalo ni propaganda badala ya ukweli na uhalisia wa mpira wa miguu. Kwa Sasa hivi wanajinasibu kwamba wanatengeneza Simba mpya lakini hapo hapo wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao ambao wanayo...
  16. U

    Video: Rais William Ruto wa Kenya na funzo kwa viongozi wa Afrika hususani Tanzania. Uongozi wa nchi ni kusikia na kuelewa. Sio ubabe na maguvu..

    Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu... Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
  17. Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  18. U

    Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  19. Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  20. Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…