viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Viongozi wa Dini kutokuwa na Umoja au Mshikamano pale wanapokemea maovu katika jamii?

    Habari wakuu, Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu. Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako...
  5. JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la kushambulia viongozi wa kidini na kufunga makanisa yao linachafua sana taswira ya Tanzania tunaonekana hatuna akili

    Suala la kushambulia viongozi wa kidini na kufunga makanisa yao kisa kukemea utekaji na mauwaji linachafua sana taswira ya Tanzania tunaonekana hatuna akili. Hata kama mfano unataka uraisi Sasa uraisi unakuwa na maana gani kama dunia ikunyooshe vidole wewe, watanzania hawakutaki unajifachafua...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Akaunti zote za kanisa la Gwajima, na zile zake binafsi na za viongozi wote wa kanisa zigandishwe (frozen) ila kusubiri hatima

    Nashauri itolewe amri akaunti zote za kanisa, magari, vifaa vya kanisa, viwanja vyote vipigwe tanchi na viwekwe chini ya kabidhi wasii mkuu (Administrator General). Hii iende kwa akaunti za Bodi ya Wadhamini, wajumbe w Bodi hiyo, wachungaji, na viongozi wote wa kanisa hilo nchi nzima. Viongozi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

    Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  10. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka kwa Dkt. Hussein Mwinyi-Rais wa Zanzibar kwa viongozi wote wa Tanzania

    Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
  11. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Chama kidogo sana kinapaishwa na Viongozi wa Chama tawala kwa kutokujua.

    Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Tulia amtaja Janabi, asema ni kwa juhudi za Rais Samia Tanzania imepata viongozi katika taasisi za kimataifa na sio juhudi binafsi za wahusika

    "Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya (WHO) duniani kanda ya Afrika. Aidha leo hii mimi nimesimama mbele yako pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi Kinga Walizonazo Viongozi Ndizo Zinazowapa Viburi;

    Katiba yetu haijaeleza nguvu waliyonayo wananchi katika kuhoji watawala wa nchi hii Bali imewafanya watawala kuwa mihungu watu wanaostahili kusifiwa na kuabudiwa huruma utakayoiona kwa kiongozi yeyote wa Tanzania si kwasababu ya katiba Bali ni kwa sababu ya malezi kutoka kwa familia yake na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  16. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu 3/6 Niwakumbushe Kusimamia MAAMUZI YA CHAMA , Haitotokea Msajili Kukifuta CHADEMA Hana Uwezo huo

    Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!. Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalia na yanayoendelea Tanzania, walalamika kunyamazishwa, wadai hofu inaongezeka kila siku

    "Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua" " Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
  18. JamiiForums Tanzania CCM mmetukosea kwa aina ya viongozi mnaolipatia Taifa. Historia itawahukumu.

    Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa. Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na mazingira yake . Taifa letu chini ya CCM limepoteza focus kiasi kwamba Elimu si kipaumbele tena...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya CHADEMA – Viongozi walaumiana uchache wa watu Arusha

    UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA Na Nulphin Charles (Jenerali) Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Aliyeomba yohana mbatizaji akatwe kichwa ni mwanamke: Wanaoshangilia utekaji wengi wao viongozi wa kike, Aliyemuuza adam ni mwanamke

    Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama kuteka ni suruhisho hatuna budi kuwa na mahakama na magereza. Viti maalum vimeonesha waziwazi siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…