viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  2. K

    Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  3. B

    Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  4. W

    Dkt. Ndumbaro awataka viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo chanzo cha migogoro

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya migogoro. Aidha amewataka viongozi ngazi ya mkoa hadi kijiji kutumia njia mbadala kwa ajili ya...
  5. Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  6. H

    Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  7. Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  8. M

    Hivi kwanini viongozi wa CCM hawana hofu na Mungu ?

    Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote. Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao...
  9. Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

    Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
  10. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  11. Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

    Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani...
  12. M

    Viongozi wangu wa Coastal Union, msipoangalia huyo Joseph Lazaro ataishusha timu daraja

    Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto Douglas Mhani, nne Yassin Abuu Napili na sentahafu marehemu Idrisa Ngulungu, sita pale alikuwa...
  13. Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  14. PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama

    Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
  15. Hawa viongozi washauriwe wapumzike

    Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli. Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi. Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
  16. Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  17. PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  18. Ni Kwamba Mkoa Wa Dar Au Jiji La Dar Viongozi Wamelala Au Makusudi... Mama Shtuka, Ni Kama Viongozi Hawako Serious Vile..

    1. Taa Za barabarani haziwaki maeneo mengi nyeti zimebaki kama mapambo. Pamoja na Chalamila kutangaza biashara Kariakoo 24/7 bado mitaa mingi kariakoo na Posta hakuna taa za barabarani na zilizopo nyingi haziwaki. Jiji ni giza tu. 2. Mitaa mingi kuna mrundikano wa taka barabarani zinakaa mpaka...
  19. Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
  20. W

    PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

    Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…