viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ushauri: Msiwazomee viongozi wa CHAUMMA

    Mnawazea vibaya sana kana kwamba wamejinyea. Wameenda Chaumma kwa njaa zao waacheni. Nimeona video nyingi zikisambaa mitandaoni mkiwazomea. Najua hamutawataki lakini hakuna haja ya kuwazomea.
  2. Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili

    Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM. Twende na rejea hotuba ya baba wa taifa ya mwaka 1995 alipoalikwa katika mkutano mkuu wa CCM, alituasa kama chama na kama taifa...
  3. H

    Viongozi wa Dini Acheni Unafiki. Tanzania ina Amani Gani?

    Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze. Watu wanatekwa Watu wanauawa Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini. Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa. Halafu anatokea mtu...
  4. Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  5. Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  6. Luhaga Mpina: Ukwasi baadhi ya Viongozi Serikalini uchunguzwe

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametoa wito kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtaka Waziri wa Fedha kuidhinisha utoaji wa taarifa zote zinazohusu mikopo, mamlaka za rufani za kodi, misamaha ya kodi pamoja na mamlaka za uchunguzi. Mpina amesisitiza umuhimu wa taasisi kama...
  7. Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  8. Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  9. Kwenu viongozi wa dini: Kwanini mnaendelea kumkaribisha kwenye madhabahu takatifu na shughuli za kidini huku akiwadhihaki na kuwaita mashetani

    Mtaendelea kudhalilika hadi lini? Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu? Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
  10. Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  11. Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  12. Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  13. Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  14. E

    PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  15. Hawa ndo Viongozi wetu wa CCM na kunasiku Huyu anaweza kuwa Mbunge, Waziri hata Rahis. Ndo Uhalisia

    Huyu sasa ndo mwanaccm halisi, anafaa kuwa Diwani,Mbunge,Waziri na Rahisi. Anakuwa Rahisi kabisa na anaongoza watanzania hawa ambao hawana makuu.
  16. Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  17. M

    Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  18. Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  19. Nini kinapelekea Viongozi wa Dini kutokuwa na Umoja au Mshikamano pale wanapokemea maovu katika jamii?

    Habari wakuu, Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu. Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako...
  20. Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…