viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka viongozi kusaidia utatuzi wa changamoto za wananchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kusaidia utatuzi wa matatizo yanayowakabili Wananchi akisema, "Haipendezi changamoto inatatuliwa, ukija tena changamoto ile ile ipo" Ameeleza hayo akiwa Kilimanjaro ambapo amezindua Barabara ya lami ya Sanya Juu - Elerai. Rais yupo Mkoani...
  2. JamiiForums Tanzania Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

    Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu. Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunaleta ubaguzi kuonesha fulani ni Rais bora kuliko mwingine, tujirekebishe

    Heshima zinazotolewa kwa viongozi wakuu wa Taifa letu waliotangulia mbele ya haki zinataka kutujengea taswira kwamba flani ni muhimu kuliko flani Jambo ambalo hatukuliona walipokuwa hai. Namna tulivyoziandaa nyumba zao za kudumu Kuna utofauti mkubwa Sana, namna tunavyowazungumzia upo utofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

    Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna mfumo wa mawasiliano wa ndani wa viongozi wetu?

    Nashangaa maagizo ya kiofisi yanatolewa kwenye Vyombo vya habari ilihali ni maagizo yanayowahusu viongozi wetu na hautaruhusu sisi wananchi ata chembe.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ubora duni wa viongozi wetu: Niko mjini Morogoro, MORUWASA ni mfano wa uongozi mbovu

    Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji. Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza...
  8. JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa viongozi wetu Unaanzia Mbali: Kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira kuna picha 12 na picha 8 zinamuonyesha Katibu wa Sekretarieti

    Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni. Unfortunately, kwa sasa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wote wa ngazi za juu Serikalini na kwenye Vyama vya siasa. Urais hautafutwi bali urais ndio unakutafuta. Haki itamalaki kote

    Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote. Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

    Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia. Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani” Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ambao bado wanaishi hata baada ya kufa

    1:Patrice Lumumba, Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa. 2: Kwame Nkrumah, Aliye ifanya Ghana ikawa nchi ya chama...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wafuatao kauli zao zimegomewa na watendaji.

    1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa. 2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi...
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Ahadi za 10M zinatolewa na GSM kupitia viongozi ambao ni Yanga

    Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM. Sina shida wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

    1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC? 2. Sikatai kutoa Motisha ila...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…