viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama tutatumia mabilioni Kwa miaka mitano viongozi walewale kuitana na kutuambia AMANI, MSAMAHA NA UZURI wa mtawala, lini tutakaa na wananchi?

    Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote nikuwaaminisha wananchi kwamba Serikali Kuna Jambo inafanya Kwa ajili ya wananchi, wazungumzaji wote wanazungumza...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hili la soko la Karume liwe funzo kwa aina ya viongozi tunaowapa madaraka.....

    Kuna stahili nyngi za uongozi hasa pale unapokuwa unakabiliana na kundi fulani la watu...Hii stahili ya kuwaondoa wamachinga kwa stahili iliyotumika soko la Karume haikuwa ya akili...sasa angalia jinsi "mlivyolamba matapishi yenu." mnaleta na siasa ndani yake...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini fanyeni maombi ya kitaifa kuondoa hali mbaya ya mauaji iliyokithiri nchini

    Kwa hali iliyopo sasa ya kuamka na kusikia vitendo vya mauaji kila mahali Kama Taifa ipo haja ya viongozi wa dini kufanya maombi ya kitaifa ili kulinusuru na hali hii mbaya. Vile vile ipo haja ya wazazi katika level za kifamilia kuboresha makuzi ya watoto wao katika misingi ya Tabia sahihi Na...
  6. JamiiForums Tanzania TRA yawaomba viongozi wa dini kuhamasisha ulipaji kodi

    MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi (TRA), Richard Kayombo amewaomba viongozi wa Dini kuhamasisha ulipaji wa kodi nchini huku akidai asiyetoa risiti ana nia ya kijidhulumu yeye na Serikali yake na wananchi wenzake na atawachelewesha kwenye masuala ya upatikanaji wa huduma za kijamii...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekuwa wajinga wa kuwatukuza Viongozi hata pale ambapo hapastahili. Kujipendekeza tu

    Humu kuna thread inasema "Rais Samia atoa shilingi bilioni 300 kukamilisha ujenzi majengo ya Serikali Dodoma". Hii ilishamiri zaidi kuanzia awamu ya tano na hii ya sita ninaona kama inaendeleza kwa kasi sana. Utakuta hata Diwani na Mwenyekeiti wa Serikali za Mtaa anapoongelea fedha zilizotolewa...
  10. JamiiForums Tanzania Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  11. JamiiForums Tanzania CCM ni watawala na si viongozi, wapo madarakani kwa maslahi yao

    Wasalaam. Nitafafanua kwa ufupi Uongozi ni mamlaka au karama ya kuwaonyesha watu njia kwa vitendo na kipaumbele chake huwa watu, lakini mtawala(CCM) huangalia vitu na si watu, hugusa maslahi yake na si watu, hushughulila na leo wala si kesho. Mtawala huiga na kukarabati hana uwezo wa kubuni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunapoelekea msimu wa mvua na baridi chukueni tahadhari. Miaka miwili nyuma kipindi hiki hakikua kizuri! Tubuni...

    Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini. Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua. Viongozi wengi tulionao...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

    Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao. Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wafanya Maombi Maalum ya kuombea Mvua inyeshe

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTY MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBA MUNGU MVUA MERARANI - SIMANJIRO PRESS RELEASE 17 JANUARI 2022 BISHOP CHARLES GADI Ndugu Watumishi wa Mungu, Maaskofu wachungaji, manabii mitume, walimu wainjiliti wazee wa kanisa na Waandishi wa Habari, Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana

    Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
  16. JamiiForums Tanzania CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

    Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40. Naona hili...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  18. JamiiForums Tanzania Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  19. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…