viongozi wetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Coaster ya Milioni 334 Ruvuma vs Wanafunzi wanaokaa chini: Je, Viongozi wetu wana shida ya Vipaumbele au ndio "Kufuja Kodi" kwa Mgongo wa Utendaji?

    Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania. Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Sisi waafrika ndiyo tuwe wapiga kura na siyo viongozi wetu watuamulie!?,au mwasemaje?

    What do you,thought?..labda maisha yatakuwa sawa na bora kwa kila mwafrika...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Ushauri: wafuasi na Viongozi wa CHADEMA heshimuni kauli za viongozi wetu hiyo jeuri yenu kafanyieni kwenye nchi zingine siyo Tanzania

    Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli. Hamna mtu mwenye uwezo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wetu hasa hasa wabunge ni kana kwamba kuna kitu tuliwakosea, wameamua kutukomoa Watanzania

    Wanajukwaa, nina imani wote mko sawa. Pasipo kupoteza muda, naomba niingie kwenye mada tajwa hapo juu. Binadam kwa kawaida, huwa na hulka ya kulipiza kisasi kwa aliyemkosea au adui yake. Hiki ndicho kinajidhihirisha kwa viongozi wetu, hasa wabunge, maana kila anayesimama anakuja na hoja ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Kweli: Heshima kwa Viongozi Wetu

    Watanzania wenye uzalendo wa kweli tunapenda kuona nchi yetu ikiendelea kwa amani mshikamano na heshima kwa viongozi wetu. Ndiyo maana tunapaswa kukemea kauli za uchochezi matusi na maneno yanayoweza kuwagawa wananchi kwa misingi ya chuki au tamaa ya umaarufu. Dudubaya anapaswa kuelewa...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania KERO Mwalimu anakatwa na CWT Tsh. 44, 320 na mwingine mwenye daraja hilo hilo anakatwa Tsh. 5,000. Viongozi wetu wa serikali, CWT ni mwiba kwa walimu

    Serikali yetu tukufu ya awamu ya 6 chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan tunaomba mliangalie hili swala la Makato ya mishahara kwa walimu kwenda kwenye CHAMA CHA WALIMU ni makubwa sana. Nashauri toeni tamko/waraka kwa wakurugenzi wa Halmashauri la kumruhusu Mwl kuhamia kwenye vyama vingine nje ya...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni mabeberu mbona viongozi wetu ni matajiri?

    Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu. Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu Wala msivunjwe moyo na matusi ya watu mitandaoni kwani Kila awamu kuanzia Mkapa ilitukanwa ila sisi tutaendelea kuwapa kura

    Tanzania Kuna kikundi cha watu mitandaoni na kilikuwepo awamu zote tangu awamu ya Mkapa mpaka sasa, kazi yao kuu ni kukejeli na kutukana viongozi wetu. viongozi wetu MSIFE MOYO kwani Kila mtu analaani matusi na upotoshaji. sisi watanzania tunawaasa viongozi wetu Wasikate tamaa endeleeni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Simu za viongozi wa CHADEMA Kibaha, zilikamatwa kwenye kikao na Afande Mafwele

    Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika "Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani pale Kibaha mkoani Pwani. Simu hizi zilikuwa kwa Afande Mafwele ZCO na leo zimetoka Ofisini...
  15. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wanapenda sana kutoa speech kila siku ila utekelezaji ni zero

    Ukweli usemwe, viongozi wa Tanzania kila siku ni kutoa speech, mara sijui tuwe wazalendo, mara tujenge nchi, mara taifa letu ni imara, mara utasikia hatutavumilia viongozi wazembe, mara sijui tutaongeza fursa kwa vijana, yani kila siku ni speech tu halafu utekelezaji zero Na hizi speech ni...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wazungu wanatupenda sana Waafrika kuliko hata viongozi wetu wanavyotupenda wenyewe

    Mpaka sasa balozi karibia zote za wazungu zilizopo Tanzania wameshatoa pole kwa waathirika na wahanga wa October 29, wameombolezea msiba na wamesisitiza haki na maridhiano kuifanya nchi iende mbele kwa amani na utulivu. Kwa upande mwingine mpaka sasa hakuna ubalozi au kiongozi yoyote Mwafrika...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

    Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu? Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe? Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

    Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
  20. PLOII

    JamiiForums Tanzania Watanzania & viongozi wetu , we must come together, hali ya maisha ni mbaya vijana are roaming around their ghetos with no serious deal

    To all it may concern. Niende kwenye Mada, Kumekuwa na stories nyingi Sana oooh uchumi umepaa Kwa sasa we do better compared to USA & European Countries. In real sense it can't happen to be over those countries, the countries arrange & decide the price of your raw materials. Tukiachana na...
Back
Top Bottom