viongozi wa upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UVCCM Mtwara: Kauli za viongozi wa upinzani zifuatiliwe

    Nyie UVCCM kauli za wapinzani zinasumu kwenu? Vipi kauli zenu nyie CCM na kauli zenu ya kwamba ni kauli za asali sana. Embu kuwe weledi hata kidogo basi ================ Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara, katika kikao chake cha kawaida kilichofanyika tarehe...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Upinzani washiriki Maandamano Nairobi

    Wanaharakati na Vongozi wa upinzani nchini Kenya washiriki kumbukumbu ya Maandamano ya Gen Z Jijini Nairobi. Miongoni mwao ni kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pamoja na wanaharakati...
  3. JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nimesema sana viongozi wa upinzani ni vibaraka wa ccm wanalipwa kudhoofisha upinzani nchini Tz

    Kila jambo huwa lina mwisho wake leo imedhihirika na hawajapinga viongozi haob kuwa huwa wanalipwa na chama tawala/serikali kwa kazi ya kuuwa upinzani. Hivyo kina Lissu, Lema, Mbowe, Heche, Mdee, nk woooote wako kazini wanalipwa hata wanapokamatwa na kuwekwa ndani huwa ni sehemu ya kazi yao...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea. Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  7. JamiiForums Tanzania Malisa: Wahusika wa kifo cha Mc Pilipili awajakamatwa hadi leo, lakini viongozi wa upinzani mnawatrack hadi sebuleni kwao na kuwakamata?

    Mbona sijaelewa. Yaani watu walimpigia simu msaidizi wa Pilipili (Hassan) wakaomba wakutane naye. Alipokutana nao walikuwa watatu kwenye gari ndogo nyeupe na Pilipili akiwa majeruhi. Kisha wakamkabidhi na kuondoka. Yaani Hassan akakabidhiwa boss wake akiwa majeruhi na hao watu wakaondoka bila...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sijasikia polisi wakiwatafuta wauwaji, badala yake wanatafutwa waandamaji na viongozi wa upinzani

    JF Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi. Tuna jeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana viongozi wa upinzani na watu mashuhuri kukamatwa tarehe 26-28

    Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani! Watu wenye influence kwenye Jamii Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa. My take: Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalimu: Tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao watakuwa watetezi wetu

    "Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu. "Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani waliokuwa na mvuto na ushawishi katika historia ya Vyama vingi

    Kwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa, Maalim Seif na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba ashangazwa na Viongozi wa Upinzani wanaodai hakuna maendeleo kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo, Machi 27, 2025, Musiba amesema kauli hizo siyo tu kwamba ni za...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yalaani kuzuiliwa kwa Tundu Lissu na Viongozi wa Upinzani kuingia Angola

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo cha kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, kuingia nchini Angola, ambako alipaswa kushiriki mkutano muhimu kuhusu masuala ya demokrasia. Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo, CHADEMA imesema kuwa mbali na...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

    PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…