Uwanja wa siasa kokote pale duniani haujawahi kuwa uwanja wepesi. Siku zote, mtawaliwa anaitamania nafasi ya mtawala, wakati mtawala anajiimarisha kila leo nafasi yake isichukuliwe na mtawaliwa (Power Struggle).
Kwa miaka yote tangu kuumbwa kwa dunia hayo ndio yamekuwa maisha ya mwanadamu...
Nchi ni ya watanzania wote bila kujali vyama vyao wala chochote
Rais akishaapishwa anakuwa kiongozi wa nchi sio wachama hivyo anakuwa kiongozi wa watu wote
Kwa msingi huo watu wote ni mali ya Rais na wanayo nafasi sawa mbele ya Rais bila kujali itikadi zao
Vyama vya upinzani vina watu wengi...
Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii!
Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na...
Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele.
"Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria."
Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo.
Imekuwa...
Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi.
Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
Wanaomshauri Rais Samia wamshauri akutane na viongozi wa upinzani sasa na akisubiri zaidi ndiyo itakuwa ngumu zaidi.
Kwa sasa ni rahisi kukutana nao na kuwaambia umma ni kujadili corona, katiba, kujuana, amani ya nchi na miradi ya nchi.
Usisubiri ukafanya mkutano wakati upinzani wana nguvu...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Tanga.
-Wataka Rais Samia Asishinikizwe kukutana nao
Mwandishi wetu Tanga.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kitaendelea kutoa mwelekeo wa siasa na uongozi wa nchi kwa vile ndicho kinachounda na kuongoza serikali, hivyo viongozi wa Chama na serikali katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.