viongozi wa upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Nimesema sana viongozi wa upinzani ni vibaraka wa ccm wanalipwa kudhoofisha upinzani nchini Tz

    Kila jambo huwa lina mwisho wake leo imedhihirika na hawajapinga viongozi haob kuwa huwa wanalipwa na chama tawala/serikali kwa kazi ya kuuwa upinzani. Hivyo kina Lissu, Lema, Mbowe, Heche, Mdee, nk woooote wako kazini wanalipwa hata wanapokamatwa na kuwekwa ndani huwa ni sehemu ya kazi yao...
  2. H

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea. Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  4. Mafyangula

    Malisa: Wahusika wa kifo cha Mc Pilipili awajakamatwa hadi leo, lakini viongozi wa upinzani mnawatrack hadi sebuleni kwao na kuwakamata?

    Mbona sijaelewa. Yaani watu walimpigia simu msaidizi wa Pilipili (Hassan) wakaomba wakutane naye. Alipokutana nao walikuwa watatu kwenye gari ndogo nyeupe na Pilipili akiwa majeruhi. Kisha wakamkabidhi na kuondoka. Yaani Hassan akakabidhiwa boss wake akiwa majeruhi na hao watu wakaondoka bila...
  5. Genius Man

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  6. T

    Sijasikia polisi wakiwatafuta wauwaji, badala yake wanatafutwa waandamaji na viongozi wa upinzani

    JF Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi. Tuna jeshi...
  7. pulex

    Tetesi: Inasemekana viongozi wa upinzani na watu mashuhuri kukamatwa tarehe 26-28

    Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani! Watu wenye influence kwenye Jamii Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa. My take: Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi...
  8. Mafyangula

    GE2025 Mwalimu: Tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao watakuwa watetezi wetu

    "Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu. "Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
  9. Waufukweni

    Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  10. M

    Viongozi wa upinzani waliokuwa na mvuto na ushawishi katika historia ya Vyama vingi

    Kwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa, Maalim Seif na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzania.
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Cyprian Musiba ashangazwa na Viongozi wa Upinzani wanaodai hakuna maendeleo kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo, Machi 27, 2025, Musiba amesema kauli hizo siyo tu kwamba ni za...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yalaani kuzuiliwa kwa Tundu Lissu na Viongozi wa Upinzani kuingia Angola

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo cha kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, kuingia nchini Angola, ambako alipaswa kushiriki mkutano muhimu kuhusu masuala ya demokrasia. Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo, CHADEMA imesema kuwa mbali na...
  13. BLACK MOVEMENT

    Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  14. britanicca

    Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

    PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa...
  15. BLACK MOVEMENT

    Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  16. Waufukweni

    Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  17. kipara kipya

    Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
  18. F

    Kitendo cha kukamatwa viongozi WACHADEMA kwa kutaka kuandamana kwa amani kimeleta taswira ambayo si nzuri serikali ya Awamu ya Sita

    Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya Muungano haimkatazi. Mheshimiwa Mbowe amekamatwa pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwepo mkamu...
  19. S

    Mimi ni mpinzani ila viongozi wa upinzani wanakosa sera zenye tija na itakua ngumu kushawishi mabadiliko

    Duniani kote upinzani wana agenda ya ajira kwa vijana na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwa Tanzania mambo ni tofauti upinzani wanasera nyepesi mno utasikia tunataka uchaguzi wa haki na Katiba mpya tu Instead ya kushawishi watu kwenye angle zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja kila...
  20. H

    Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu wa Upinzani

    Kifo cha Viongozi wa Upinzani Tanzania: Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu TUJIANGALIE TUPO PABAYA SANA LEO KULIKO JANA SONGA NAYO. Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na matukio kadhaa ya kutekwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, hususan CHADEMA...
Back
Top Bottom