viongozi wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa kifo na mahakama ya Kijeshi nchini humo

    Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani mkubwa wa serikali. Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imemhukumu...
  2. tonicimmobility

    Viongozi wenye msimamo kama hawa sijui waliishiaga wapi?

    Sijui waliishiaga wapi viongozi wenye msimamo kama hawa katika nchi zetu? Viongozi wenye uwezo wa kukataa hongo zisizo na mbele wala nyuma kwa maslahi mapana ya nchi Viongozi wenye uwezo wa kusema hapana, nazitamani sana siku kama hizi zenye viongozi wenye msimamo kama zirudi. Sijui nchi zetu...
  3. Yoyo Zhou

    Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  4. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  5. R

    Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

    Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula...
  6. Ryan Holiday

    Maendeleo ya Mkopo: Ndoto ya Kaburi Linalochimbwa na Viongozi wa Afrika Kwa Kalamu na Sahihi

    Katika historia ya maendeleo ya bara la Afrika, misaada kutoka mataifa ya Magharibi na Ulaya imekuwa ikichukuliwa kama suluhisho la umasikini na njia ya kuinua hali za kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, katika kitabu chake kilichozua mijadala mikubwa duniani, "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and...
  7. L

    China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  8. Mayor of kingstown

    Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  9. N

    Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁 Yani unaweza kufumua kiota...
  10. Waufukweni

    Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  11. Mshana Jr

    Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

    "Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
  12. ELI COHEN

    Mr Beast alijenga visima 100 vya maji Afrika. Hii ishu ilipotelea juju kwa juu kwa maana viongozi wa KiAfrika waliona ni kama dogo anawafundisha kazi

    2023, alijenga visima vya maji Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon, na kusaidia watu 500,000 kupata maji safi. How come mwamba hakuwa celebrated na viongozi hawa? Hakuwa granted kama shujaa hata katika kikao chochote cha AU? Na wakati alichofanya ni kuokoa maisha ya malaki ya watoto na...
  13. Rorscharch

    Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

    Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi...
  14. J

    Viongozi wa Afrika waige ukomavu wa Zelenesky aliyemvimbia Trump aliyetaka kukwapua 50% ya Madini yao

    Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP Ahsanteni Sana 😃
  15. Samia atosha tukutane2030

    Viongozi wa dunia ya 3 upeo wao wa kuona mbele ni miaka 4 mpaka 5, huku viongozi wa Dunia ya 1 uono wao wa kuona mbele ni miaka 50 mpaka 100

    Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara. Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
  16. Lord Denning

    Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

    Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana! Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida. Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa...
  17. Gabeji

    Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

    Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
  18. ryan riz

    Habari hii ya BBC kwa viongozi wa Afrika imejaa maneno ya dharau, kebehi kisa viongozi wameenda kwa wingi China

    Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii. Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri huu unaondoa shauku ya vitu mahsusi vya kufuatilia katika mkutano huo kiasi kwamba mijadala mingi...
  19. L

    Matunda ya FOCAC yawafanya viongozi wa Afrika kuwa na matarajio makubwa na mkutano wa Beijing wa mwaka huu

    Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024, viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika wameonesha kuridhishwa na wamekuwa na imani kubwa juu ya ushirikiano...
  20. R

    Tishio la Gen Z lawanyima amani viongozi wa Afrika, wanatisha safari zao nje ya nchi. Wahofia kimbunga cha Arab Spring 2011

    Gen Z movement zilianzia Kenya, zinaelekea Uganda na sasa zimebisha hodi Nigeria. Yapo mafanikio kadhaa yameanza kuonekana kama: 1. Marais kusitisha safari zao nje ya bara la Afrika kwenda kuomba 2. Baadhi ya bajeti zimefyekwa tumeona Kenya, Uganda na hata Tanzania 3. Mabadiliko ya mabaraza ya...
Back
Top Bottom