viongozi chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LISSU alimruhusu HECHE kuendelea kupeleka Moto, nyinyi mnaojiita Viongozi CHADEMA

    Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??. Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ". Tutawashughulikia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kauli ya Rais kuhusisha wanaharakati na ugaidi wakati viongozi CHADEMA wanakamatwa ni hatari

    "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya tarehe 7 mwezi wa 7 yaliyotangazwa huko mitandao...
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

    "Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema, 1. Bwana John Mnyika 2. Amani Golugwa 3. Ali Ibrahim Juma 4. Godbless Lema 5. Dkt. Rugemeleza Nshala 6. Rose Mayemba 7. Salima...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali iwanyang'anye Viongozi Chadema hati za kusafiri, wanazitumia vibaya kuichafua nchi yetu wanaposafiri nje hasa ulaya na Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa manufaa kwa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Passport mlizowapa Viongozi wahusika kupitia Jeshi la Uhamiaji zinawatia kiburi na huzitumia kuharibu tashwira nzuri ya taifa letu tukufu Ni vema mkawadhibiti Viongozi ( baadhi yao) waliokosa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wanapukutika, wanabaki wananchi “wanyonge” tu

    Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Viongozi CHADEMA watishia kukibwaga Chama Mbowe akishinda Uenyekiti

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa kuwa Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu unaofanyika Januari 21, 2025. Pia, Soma: - Mbowe: Nikishindwa...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

    Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA yapiga marufuku ambao hawana elimu ya kidato cha sita na kuendelea kugombea serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

    Chadema imewapiga marufuku maelfu ya watanzania ambao wana elimu ya msingi na kidato cha nne wasigombee uongozi wowote katila chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Chama hicho, japo kimewanyima haki ya kugombea, kinatarajia kwenda kuwaomba kura ili...
Back
Top Bottom