vijiweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  2. K

    Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  3. Bawabu wa pili

    Jomeke na Siri za watu vijiweni

    Kuna Bwana mmoja maarufu anaitwa JOMEKE; Huyu bwana ni katika wale watu wasiokuwa na vifua, hana stahimala akiona jambo. Vijana wanasema friji lake haligandishi. Jomeke hawezi kabisa kuficha siri, akiskia jambo au akiona jambo hawezi kuvumilia lazima aseme Sasa siku moja Jomeke kwenye...
  4. M

    Wakuu ni kweli uchawi upo ? Weka tukio hata moja lililowahi kukuta wewe, sio kusikia kwa wengine au vijiweni

    Siamini uchawi, Hakuna uchawi
  5. REJESHO HURU

    Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  6. Just Pray

    Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  7. M Hacker

    Siku CCM Ikiwa Mpinzani: Sehemu ya Pili

    Siku zilisonga mbele, lakini bado taifa lilikuwa katika msisimko. Mijadala ilikuwa moto, kutoka vijiweni hadi bungeni. CCM sasa walikuwa wakifanya kile ambacho walikuwa wakiwahi kibeza—kupinga sera za serikali kwa nguvu zote. Katika ukumbi wa Bunge, Mbunge mmoja wa CCM mpya, ambaye zamani...
  8. Kitchener

    PreGE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

    Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali. 1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL. 2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu...
  9. mdukuzi

    Yanayosemwa vijiweni kuhusu kufungiwa kwa mwamuzi Kayoko

    Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu. Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea. Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya...
  10. philipo Leonard Philipo

    Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
  11. T

    Ebu tusemezane mambo ya vijiweni

  12. Rorscharch

    Fahamu Makundi Mbalimbali ya Vijana Wanaokaa Vijiweni (Jobless)

    Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
  13. U

    Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

    Wadau hamjamboni nyote? Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea? Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Kanisa moja takatifu la Mitume
  14. Melki Wamatukio

    Hivi wanawake mnawatenda nini waume zenu, mbona makasiriko yamezidi sana huku vijiweni?

    Nilipita somewhere kwenye kijiwe cha kahawa mida ya jioni, nikakutana na waume za watu wanalaani vikali wake na ndoa zao, kiufupi wanajazana sumu. Nilijikuta mdomo wazi baada ya jibaba limoja kumkandia mkewe mpaka kufika hatua ya kububujikwa machozi, alibebelea kijifuko chenye kitoweo ndani...
  15. Right Marker

    Wanaume wa hii mikoa sita (6) acheni kukaa vijiweni bila kufanya kazi.

    💼 MHADHARA WA 6. Habari ya leo wanaJF... Kwenye mhadhara huu naomba kuzungumzia tabia ya wanaume wengi (wazawa) wa mikoa ya DAR ES SALAAM, LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI na hata kule ZANZIBAR ambao kutwa wanashinda vijiweni bila kufanya kazi. Vijana wengi wa hiyo mikoa wanashinda vijiweni siku...
Back
Top Bottom