vijana

  1. JamiiForums Tanzania Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  5. O

    JamiiForums Tanzania Haki haiombwi, inapiganiwa: Vijana wa leo kwa Tanzania Bora

    Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko. Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
  6. JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  7. JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  9. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tuko hai lakini tumegeuka mazombi, tunachati Kwa Furaha, Lakini hatufikiri tunachozungumza

    Kupungua kwa mawasiliano ya kijamii kati ya wanajamii (socialization), na hasa kwa vijana na wanawake waliokulia katika maeneo ya mijini. Yote ni athari zinazochangiwa na matumizi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii kama Twitter (X), TikTok, na Instagram, na jinsi zinavyochangia kuporomoka...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Vijana wanaopata VVU ni takriban 34.3%

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa,amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa wa UKIMWI bado ni tishio na kuongeza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ni watu 60,000 kila mwaka ambapo vijana wanaopata VVU maambukizi ni takribani asilimia 34.3...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa kataa ndoa mmefikiwa sasa lazima muoe tu.

    Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza . Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa . "https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
  12. JamiiForums Tanzania Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

    Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa. Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu. Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi kutamwaga damu, sisi tunaotaka kugombea tunaepusha vijana wetu kuumia wakati wa kuzuia uchaguzi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

    Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe wamechafukwa.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  17. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tulinde maadili hasa ya vijana wa kiume-Rc Simiyu,Kenan Kihongosi

    Ulinzi wa maadili hasa kwa vijana wa kiume dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia,ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vitendo vya kulawitiwa ni suala nyeti linalohitaji hatua madhubuti kutoka kwa jamii,serikali na taasisi mbalimbali. Hayo yameelezwa ,April 3,2025 na Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenan Kihongosi...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

    Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi. Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…