vijana

  1. Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

    Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama...
  2. Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...
  3. Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie. Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…