Ndugu zangu Watanzania,
Vijana wenzangu,
Na Taifa kwa ujumla,
Leo nasimama mbele yenu kusema maneno ambayo wengi wanaogopa kuyasema.
Maneno ambayo yamekuwa yakizungumzwa mitaani, kwenye mabasi, kwenye mitandao ya kijamii, na hata kwenye vijiwe vya kahawa lakini hayajawahi kusemwa rasmi na kwa...