vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tukio la ndugu wa Familia kufariki kwa moshi wa jenereta, ndugu adai marehemu walipigwa kabla ya vifo vyao

    Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka. Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020. Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Vifo watoto wachanga vimeongezeka Mbeya

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali amesema kuwa katika Mwaka 2021/22 aligundua uwepo wa ongezeko kubwa la watoto wachanga katika Mamlaka mbili ambazo ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Katika Ripoti yake CAG anaeleza kuwa takwimu zimeonyesha kuwa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kutosha itolewe kuepusha vifo vitokanavyo na ulaji wa kasa

    Si mara ya kwanza hapa nchini kusikia watu wamepoteza Maisha kwa kula samaki aina ya KASA, na hivi majuzi tena tumesikia watu saba kutoka Kijiji cha Bweni na Kanga Wilayani Mafia mkoani Pwani wamefariki dunia kwa kula samaki huyo anayesadikiwa kuwa na sumu. Matukio haya yanapaswa KUWAAMSHA na...
  6. JamiiForums Tanzania Ishi na jamii tofauti ujue jinsi ya kuishi na watu vizuri. Vifo vitazidi kuongezeka Afrika Kusini sababu tunapeleka ushamba wetu kwao

    Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale. 👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa. Uku...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  8. JamiiForums Tanzania Vifo vya wachezaji Tanzania, mamlaka zinachukua tahadhari zozote?

    Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye hospital ya kiwanda cha Mtibwa mkoani Morogoro. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali: Vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano vimepungua nchini

    Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016. Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali ya Tanga vifo 17 naiona Aljazeera, TV za bongo zinaonesha miziki tu

    Nimeikuta ALJAZEERA wanaionyesha muda wote kwenye kimstari kinachopita chini, scrolling ticker. Yani wameipa umuhimu. nikaenda kutafuta details kwenye TV za bongo, zote zinaonyesha vipindi vya miziki... Ndio aina ya media ambayo inaruhusiwa. Serikali kwa makusudi inalea taifa la watu wasio...
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya urusi na Ukraine inavyosababisha vifo vya Nyangumi

    Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya Helkopta na makombora yanayopita juu ya bahari pamoja na milipuko ya chini ya bahari inatajwa pia...
  12. JamiiForums Tanzania China: Vifo vya watu maarufu vyaongeza taharuki kuhusu UVIKO-19

    Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo Nchini humo. Baada ya kifo cha mwanamuziki Chu Lanlan (40), hivi karibuni, familia ya msanii huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Mabasi ya Volcano na Oxgen yagongana na kusababisha vifo vya watu sita

    Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga magharibi kwa Uganda,Polisi Uganda wamethibitisha.
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
  17. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  18. JamiiForums Tanzania Kila vifo 33 kati 100 vinavyotokea nchini vinatokana na Magonjwa yasiyoambukiza

    Imeelezwa kuwa kila vifo 33 kati ya 100 vinavyotokea nchini vinasababishwa na magonjwa hayo na robo 3 ya wananchi hawajitambui kuwa wana tatizo hilo. Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe amesema Mjamzito mwenye Magonjwa hayo yupo hatarini kujifungua watoto wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ni uzembe uliosababisha vifo 19 ajali ya Precision Air

    Ni uzembe. Maneo haya mawili ndiyo yanaweza kuelezea kilichotokea katika ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria mjini Bukoba na kusababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ilianguka takribani mita 100 kutoka ulipo Uwanja wa Ndege wa Bukoba, ikiwa na watu 43...
  20. JamiiForums Tanzania Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…