Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Chesco Msaga, C.PP.S, leo Novemba 7, 2025 katika Ibada ya kuwaombea marehemu na majeruhi wote waliopata madhara katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, amesema, “Haki ndiyo huzaa amani. Tusipotenda haki, amani haiwezi kutawala kamwe.”