vifaranga

  1. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2 Tupo Lugela - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa Simu: 0767659145, 0787659145
  2. alphonce.NET

    Tunauza vifaranga wa kuku chotara

    TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU CHOTARA AINA YA KROILA, BEI SH 1,500 WANAPATIKANA KILA WIKI UMRI: SIKU 2 CHANJO: MAREK'S TUPO KAHAMA, TUNASAMBAZA MAENEO YOTE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA 0767659145 0620246040 0787659145
  3. Brayan_Jk

    Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  4. Frank Mazagazaga

    Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  5. Frank Mazagazaga

    Wafugaji wenzangu tujifunze kuusu TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER ya njia mbili

    WAFUGAJI WENZANGU, TUJIFUNZE PAMOJA Moja ya sababu kubwa zinazofanya mayai yasitotolewe vizuri siyo mara zote sababu ni mayai mabovu, wakati mwingine ni KUKOSA UDHIBITI SAHIHI WA JOTO NA UNYEVU NDANI YA INCUBATOR. Hapa ndipo kifaa kimoja muhimu sana kinapokuja kusolve hili tatizo: XK-W1099...
  6. funzadume

    Siafu wameua vifaranga shambani

    Usiku wa kuamkia leo siafu wamevamia shambani kwangu na kuua vifaranga vya wiki tatu 56 na vya miezi miwili na nusu 31 vilivyokuwa kwenye banda maalum la kukuzia Kwa wenye uzoefu nifanye nini kudhibiti siafu shambani Nisaidieni wataalam
  7. M

    INAUZWA Kwa 150,000/= TSh unapata mashine ya kutotoleshea

    Mashine ya mayai 30 ipo kwenye offer kila mtu apate bei ni 150,000/= TSh. Zipo pc 100 tu. Karibuni Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa Ndevu darajani njia ya kwenda jeshini. Wateja wa mikoani tunatuma baada ya malipo. Piga simu 0656 446 991
  8. M

    MASHINE YA KUTOTOLESHA VIFARANGA KWA BEI YA 150,000/=TSH TU

    MASHINE YA MAYAI 30 IPO KWENYE OFFER KILA MTU APATE BEI NI 150,000/=TSH. ZIPO PC 100 TU. KARIBUNI TUPO DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI NJIA YA KWENDA JESHINI. WATEJA WA MIKOANI TUNATUMA BAADA YA MALIPO. PIGA SIMU 0656 446 991
  9. hs billionaire

    Nahitaji vifaranga chotara 1000

    Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji Na wasilisha. N.B 1. kipaumbele watapewa wa mkoa wa Singida na Dodoma 2.ukiwa nao kuanzia 300 pia itafaa
  10. N

    Wapi ntapata Vifaranga vya Kenbro kwa Dar?

    Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama 2000 hivi.
  11. Frank Mazagazaga

    Nilipost kuhusu mtambo, jamaa akaniambia ‘nimesubiri sana kitu kama hiki– Sasa anavuna vifaranga nyumbani kwake!

    Kuna wakati nilipost humu kuhusu W1219 na W3002 – mtambo wa kudhibiti joto kwa incubator unayoweza kutengeneza mwenyewe nyumbani ukiwa na temperature controller, taa na feni ndogo. Ilikuwa tu post ya maarifa na elimu. Siku mbili baadaye, jamaa mmoja alinipigia simu usiku: Hakika, maneno yake...
  12. XYZ987

    Tunauza vifaranga bora wa sato na kambale

    Nawasalimu wote, Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu.. Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua.. Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao uwezo wa kukusafirishia popote. Karibu inbox tuyajenge... Asante
  13. Frank Mazagazaga

    SIO LAZIMA UWE NA MILIONI ILI UTOTOLESHE MAYAI – WAKATI MWINGINE UNAHITAJI TU KUONESHWA NJIA SAHIHI KAMA MIMI

    Wakuu wa JF, habari za kazi na maendeleo. Miaka ya nyuma nilikuwa naamini kutotolesha mayai ni kwa watu wenye incubator za bei mbaya – zile za laki mbili mpaka milioni. Nilikuwa natamani sana kufuga kuku kwa njia ya kisasa lakini nilikwama mara kwa mara kwa sababu ya bajeti. ○●○ Mpaka...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni muda Sasa serikali iachie mipaka Wakenya waendelee kutuletea vifaranga. Wazalishaji wa Tanzania wamelala mno

    Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga. Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu! Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao. Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza na kuwauliza kwahiyo lini nitapata mzigo !? Company nyingi zipo kitapeli na uhuni mwingi wanajari...
  15. S

    Siasa mbovu za mama kuku katika jaa la taka, ndiyo chanzo cha mwewe kupora vifaranga wake

    Mama kuku ana vifaranga vingi sana vimezagaa kila sehemu ya jaa la taka vikijitafutia. Vipo vilivyo dhoofu na vipo vyenye afya tele. Vingine vimeanza kuota mbawa, vingine bado. Lkn kwenye jaa hilo kumeibuka balaa la vifaranga kuporwa mchana kweupe na mwewe. Kinyume na matatajio ya vifaranga...
  16. M

    MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

    (full Automatic egg incubator). ■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120. ● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri ●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor ●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha. ●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi...
  17. M

    Taa za joto za kulelea vifaranga kwa ofa ya 10000 tu

    Usikubali vifaranga wako kupoteza maisha kisa baridi
  18. Pfizer

    PreGE2025 Kilimanjaro: Mbunge Esther Malleko atekeleza ahadi yake, akabidhi Mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku

    *UKOMBOZI WA KIUCHUMI NA AFYA MKOA WA KILIMANJARO * Mbunge Esther Malleko atekeleza ahadi yake,akabidhi Mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku UWT Mkoa wa Kilimanjaro. Na Mwandishi wetu. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Esther Malleko, ametimiza...
  19. Uhuru24

    Mwenye kufahamu wanapototolesha vifaranga vya kuku wa kienyeji anailekeze

    Habarini wakuu, nina project ya kufuaga niliiyanza muda ila nimebaini changamoto za yule kijana anaekaa pale shambani, naona sio msimamizi mzuri harafu utakuta bata anataga mayai ila yeye anakwambia bata anakula mayai yake mwenyewe. Sasa nina mpango wa kumuondoa lakini nikaja na wazo lingine...
  20. Faana

    Picha: Kipanya na vifaranga

Back
Top Bottom