vifaa vya ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini Saruji imeadimika kiasi hiki?

    Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara, wakati barabara za Tanganyika zimejaa mashimo, AU ni wakati wa mama kujenga KIZIMKAZI? Ujenzi...
  2. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  3. JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri? Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zichukuliwe kuinusuru nchi na mfumuko mkubwa wa bei kwa vifaa vya ujenzi

    Salaam! Baada tu ya sintofahamu ya Oct 29, pametokea mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali Katika sekta mbalimbali, Leo nitaongelea sekta ya ujenzi. Bei ya kigae Cha size (40"*40") January 2025 ilikuwa tshs 23,000 kwa boksi moja lenye 12 PCs, January 2026, kigae hicho hicho Cha size...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Tulia atoa vifaa vya ujenzi wa nyumba ya familia iliyoungua moto kupitia taasisi yake ya Tulia Trust

    Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia. Muwakilishi wa Idara ya Habari na Mawasiliano TULIA TRUST, Addy Kalinjila amezungumza baada ya kukabidhi vifaa vya...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹 1. Litambue soko lako Usiingie gizani! Jua wateja wako ni nani, bei za washindani wako zikoje, na...
  8. JamiiForums Tanzania Ijue Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi

    Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati. 1. Litambue Soko Lako Kabla ya kuanzisha duka la vifaa vya ujenzi, hakikisha unatambua soko lako. Jua ni wateja gani unaowalenga wawe mafundi, wamiliki wa nyumba, au makandarasi wakubwa. Fanya...
  9. JamiiForums Tanzania Vifaa vya ujenzi wa ghorofa Kariakoo vyaanguka na kujeruhi watu

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala limethibitisha kutokea kwa ajali ndogo ya ujenzi katika jengo lililopo Mtaa wa Aggrey, Kariakoo, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya mbao na milunda kuanguka kutoka kwenye jengo lenye zaidi ya ghorofa 10. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
  11. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya kuwa balozi wa kujitolea kutangaza bidhaa za kampuni za kutengeneza vifaa vya ujenzi ama umeme au maji

    P.o. Box 4278,Mbeya labaisa46@yahoo.com 14/05/2025 Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya vifaa vya ujenzi : Tanzania YAH: MAOMBI YA KAZI YA KUJITOLEA KUTANGAZA BIDHAA ZA KAMPUNI ZA VIFAA VYA UJENZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha maombi yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi zipo juu sana

    Kwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia. Tunahitaji viongozi ambao wanaweza kutetea wananchi sio kusifia tu
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  17. JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  18. JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kwa Ubadhirifu

    Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida Gallos akabidhi vifaa vya ujenzi na michezo Jimbo la Welezo Mkoa wa Magharibi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya michezo na ujenzi katika Jimbo la Welezo. Mbunge Tauhida na Mwenyekiti UWT Mkoa wa Magharibi...
  20. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

    Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi. 1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…