vidonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

    Misoprostol tablets!!
  2. Naomba kujuzwa kazi ya vidonge viitwavyo Viviani?

    Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii. Asanteni
  3. Dada wa Kikenya kampa Rais wa Ufaransa vidonge vyake bila kumung'unya maneno

    Kwanza naomba niseme wazi kabisa Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
  4. Rundo la vidonge vimetupwa mtaani, naenda kuwaeleza serikali ya mtaa

    Nataka nipime uwajibikaji wa serikali. toka asubuhi nimeona kuna rundo la madawa yametupwa barabarani kabisa Jambo ambalo ni hatari madawa yenyewe yanafanana na Yale ya minyoo watoto wakiyaona watadhani ni pipi sijui ndo yame expire au vipi. Me siwezi kujitolea kuanza kuyaokota sio kazi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…