video

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inaupiga mwingi...Sikia Video hii

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  3. JamiiForums Tanzania Video: Chriss Kama angekua anajua Taekwondo

  4. JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

    Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
  6. JamiiForums Tanzania Video: Akili za mashabiki wa Diamond zilivyo

    👇👇👇😥 Imagine ni mwanao na baba yako.
  7. JamiiForums Tanzania Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nikisema-jeshi-la-polisi-halifanyi-kazi-vizuri-najibiwa.1967071/
  8. JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  9. JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Makonda akila bata maeneo tulivu

  11. JamiiForums Tanzania Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  13. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo. Pia soma; 1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  15. JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  17. JamiiForums Tanzania Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

    Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama. Chanzo: DarMpya
  18. JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO. Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  20. JamiiForums Tanzania Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…