vichekesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

    Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
  2. Fbn

    Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  3. Chibike

    Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua kicheko kweli na watu wake

    Embu ona kichekesho kama hiki Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni... Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
  4. Mi mi

    Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Maneno huumba? Kauli ya channel ya vichekesho mbinguni. Je wachekeshaji na wafanya vituko kutaka kujazana bungeni ndio mwanzo wa taifa la vituko?

    Hamjambo Wote! Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba. Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli. Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo. Je watu kusema taifa kuwa...
  6. Knock life

    Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma Babu Tale Harmonize Baba Levo Kishimba Steve Nyerere. Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  8. Dabil

    Vichekesho haviishi ,nimecheka sana

  9. Mtunza siri zako

    Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  10. Youbettersleep

    Imefikia hatua ripoti ya CAG inatoka wala hata wananchi hawashtuki. Nchi yetu inaelekea wapi?

    Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali haichukui hatua yoyote zaidi ya kuangalia upande wao. 1. UJENZI WA SGR. wamewekeza siasa sana kwenye...
  11. Abraham Lincolnn

    Bingwa wa vichekesho anaomba mitano tena

    Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Bingwa wa Vichekesho nchini, Anapmba ridhaa apate miaka mitano tena.
  12. Binti wa zamani

    Kitu gani cha kuchekesha au kutia aibu ulisikia mtoto mdogo anakisema?

    Kwenye msiba wa mzee flani mtaani, wakati watu wanaaga, mmoja wa wajukuu zake aliona mwili kwenye jeneza akasema kwa sauti kubwa “kwahiyo babu sasa hivi amekua Zombiii” wote tuliokua karibu tukabaki tunacheka tu!
  13. Yoda

    Nigeria maudhui yao ya comedy za kuigiza ni ya kitoto sana

    Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
  14. Abraham Lincolnn

    Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  15. Abraham Lincolnn

    Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  16. R

    Hivi vichekesho vya wahubiri wa kikriso sasa it is too much!

    Kuna kanisa lipo Njiro Arusha fungulia redio yao usikilize makelele ya huyo mhubiri. Huo ni ukristo au ulevi????
  17. Nandagala One

    Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

    Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
  18. ELI COHEN

    Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  19. Li ngunda ngali

    Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  20. THE BEEKEEPER

    Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

    Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
Back
Top Bottom