vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  2. D

    Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
  3. Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  4. Utaalamu unavyotumika vibaya kuidanganya Serikali

    Katika jina la JMT kazi iendelee, Kichwa cha andiko hili kisihusishwe kabisa na kupinga mawazo ya wataalamu au kupinga utaalamu unaofanywa na wataalamu mbalimbali katika kuishauri Serikaki juu ya miradi na masuala mbalimbali. Wataalamu wamekuwa wakitoa mchango mzuri lakini wapo waliokuwa...
  5. Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  6. Marefa wa Tanzania na Wasaidizi wenu mpaka siku mkifa kwa kupigwa vibaya Viwanjani ndiyo mtajua kuchezesha Soka kwa Haki na siyo Chuki na Maagizo

    Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea? TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi...
  7. Hivi Tanzania kuna wachambuzi wa soka au wafata upepo?

    Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi. Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
  8. Songwe: Mtu 1 afariki baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita

    Happymark Msuwila amepoteza maisha huku Jinasa Mayunga (54) akijeruhiwa baada ya Baruti zinazotumika katika ulipuaji wa miamba kwenye Migodi kulipuka na pia kuharibu vibaya nyumba sita za karibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando, amesema mlipuko huo ulitokea Jumatatu usiku katika...
  9. Maalim Seif Hammad hajawahi kuongelewa vibaya si mtaani wala mitandaoni

    Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
  10. Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…