vibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha wananchi wanateseka

    Aisee huku Misugusugu Kuna vibaka ambao wanakaa uwanja wa mpira usiku wa Jana wamempora jamaa na kumchoma kiasi. Juzi pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga aisee Cha ajabu Hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao Kuna ndugu Hawa wawili. Hawa vijana wanamatukio Kila siku wengine Kuna...
  2. Genius Man

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  3. Chizi Maarifa

    Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  4. Sifi Leo

    Tanzania, kila Kona kwenye miradi mingi Kuna ubadhilifu, je serikali inasajili vibaka? Wezi?

    Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo! Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana. Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
  5. Sifi Leo

    Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  6. Sifi Leo

    Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  7. Tajiri Tanzanite

    PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  8. Kimbesa11

    Mnaharibu miundombinu tuliyotengeneza na kujenga kwa Kodi zetu halafu watu wanawaangalia tu ilitakiwa mshugulikiwe Kama vibaka

    Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi? Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu wachome vituo vya mwendokasi, wabomoe maduka ya watu huku mnawashangaa tu? Uzalendo upo wapi...
  9. GENTAMYCINE

    Kwa 'Dezo Dezo' ya Leo kwa Mkapa ndiyo mtaamini kuwa Wahuni na Vibaka wengi Tanzania wanashabikia Timu gani

    Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
  10. The Burning Spear

    Video: Mbinu mpya na hatari ya Vibaka.

    GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
  11. tonicimmobility

    Wakala Morogoro avamiwa na kuporwa Milion 2 na vibaka

    Mfanyabiashara wa Miamala ya Kifedha alinayefahamika kwa jina la Method Asheri Mkazi wa Mtaa wa Majengo Mapya Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amevamiwa na Watu wasiojulikana Kisha kuporwa begi lake ambalo lilikuwa lina Fedha zaidi ya Shilingi Milioni 2 ,Simu na Vifaa vyote vinavyotumika...
  12. Bibianna

    Hii TMX ni kiboko ya vibaka

    Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa kutumia mfumo rasmi wa masoko kupitia Tanzania Mercantile Exchange (TMX). Kupitia mfumo huu, wakulima...
  13. A

    KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  14. Busu la Kenge

    Video vibaka wakivunja fence ya umeme kwa miguu

    Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka? Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu. Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd.
  15. A

    KERO TARURA wilaya ya Kinondoni wananizungusha malipo yangu

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake? Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
  16. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  17. BigTall

    DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  18. R

    Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  19. MBOKA NA NGAI

    Jeshi letu si yo la vibaka

    https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453 Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi. Mpaka sasa, magari 14 yamesharudishwa mikononi mwa wenyewe. Jeshi letu ni la kitaalam, hatuwaibii watu.
  20. SIPENDI SIASA

    Alafu nyie watoto wa kishua, sio kila mtoto wa uswahilini ni kibaka. Wakati mwingine, please show us some respect

    1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake. NB: Sio kila...
Back
Top Bottom