Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)
Kwa...
Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.
Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.
Ni hivi, nimesoma...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha
Napenda vijana waishi na sio wafe
Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono
Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara.
Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu.
Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
Anonymous
Thread
mikopo
mtwara
newala
rushwa
viashiria
vijana
vijijini
wilaya
Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu,
Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una...
■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024.
📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni.
■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
Je, unawahi kujiuliza nini hutokea pale taifa linaposhindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi wake? Katika lugha ya kisiasa, hali hiyo huitwa “failed state” yaani, nchi iliyoshindwa kufanya kazi kama taifa. Sio lazima vita vipige, bali kuna dalili kadhaa zinazotufundisha kwamba mambo si...
Great Thinkers,
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha Watanzania wote—hasa wastaafu—kuwa makini sana, kwani kikundi hiki hakijasajiliwa kisheria hapa Tanzania...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na makundi au watu wenye nia ovu na Nchi ya Tanzania, watakaotaka kuutumia mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kusimama imara kuzuia vitendo vya uhalifu vikiwemo vya wa watoto kutekwa na kuuwawa, mtu mmoja mmoja kupigwa risasi kwenye makazi yake, hadi sasa kuna viashiria vya uhalifu huo.
Ameyasema hayop alipokuwa...
Wakuu
Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi?
Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani.
Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao.
Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo)
Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini
1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider)
2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider)
3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17.
Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha chadema. Hili pia linafanywa na Heche. Taarifa zinasema wamejipanga kufanya vurugu kubwa sana nje na...
Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila.
Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote.
Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia...
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino
Mhe. Mayanja ameyasema hayo Leo Nov 27,2024 wakati akizungumza na Wasafi Media kwenye kituo Cha kupiga kura Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.