veta

Veta (transl. Hunt) is a 1986 Indian Telugu-language period action film starring Chiranjeevi, Jaya Prada and Sumalatha in the lead roles. The film was made by Samyuktha Movies, whose earlier blockbuster was Khaidi. The movie is based on Alexandre Dumas' 1844 novel The Count of Monte Cristo. The successful team of director A. Kodandarami Reddy, composer K. Chakravarthy and writers Paruchuri brothers was repeated in this movie as well. The movie was dubbed into Hindi as Farrar Qaidi.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  2. Wastaafu waende VETA kupata ujuzi

    Wastaafu wote wanashauriwa kwenda kusomea Mapishi kwa ajili ya maandalizi yA AFCON 2027.
  3. Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

    Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
  4. D

    Picha. Mwana-Uchumi aliyeamua kwenda VETA.

    Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
  5. Serikali itengeneze mazingira rafiki wasomi wakatafute Fursa nje ya Tanzania, kusoma VETA sio Fursa.

    Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
  6. Badala ya vijana wanaomaliza Form Six kwenda Jeshini Waende VETA Bure

    Bado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu. Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa kushauri VIjana waliomaliza vyuo vikuu ni namna ya kuongeza ujuzi na sio dharau. Ila nimefikiri Badala...
  7. Wasomi kurudia VETA ni wazo zuri ila lipo kisiasa zaidi, nia ya dhati haionekani

    Imefika wakati sasa Tanzania inabidi tuliangalie tatizo la ajira kwa jicho pevu maana hili bomu karibu linalipuka. Idadi ya degree zinazotoka vyuoni kila mwaka ni namba inayotisha ukizingatia huku mtaa unahitaji performers not graduate. Huku mtaani boda boda karibu wote ni degree holders...
  8. Wanasiasa wa Tanzania wanachofanya sasa hivi ni kuamua kukwepa ngumi ya uso kwa kufumbo macho. Issue ya VETA ni ajenda ambayo imeletwa kimkakati

    Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha. Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi. Rais alipofariki - hii taarifa alipewa Majariwa. Vijana kukosa ajira -hii pia kapewa majaliwa. Korosho za mtwara -hii pia...
  9. Badala ya vijana kwenda JKT kwa mujibu wa sheria wapelekwe VETA kwa ufadhili wa serikali

    Kwa sababu ya tatizo kubwa la ajira the vijana wanaomaliza vyuo hoja ya waziri mkuu Majaliwa inahitaji mjadala wa kina zaidi badala kupuuzwa kwa sababu ya kutoeleweka kwake na hasira ya waliomaliza vyuo vikuu wasiokuwa na ajira. Ukweli ni kwamba muundo wa uchumi wetu unatoa fursa chache sana...
  10. Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira ya kumpa mwanao huna,,Watoto wataenda sana VETA

    Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia maneno aende VETA Wazazi wengi wana site hazijakamilika miaka 10 hadi 15 nyumba haijapauliwa...
  11. Hoja ya Waziri Majaliwa haina mgogoro, amekosea tu kuwataja degree holders, VETA ishauriwe kwa vijana wote chini ya miaka 26

    Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
  12. Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
  13. Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

    Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya...
  14. Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  15. Ya Kassim Majaliwa, Veta na Making Kayumba Schools Great Again

    Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa. Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo...
  16. H

    Karibu VETA

    Bado unalalamika???au ushakubaliana na mpango wa kuja VETA We njoo VETA ila jua kuwa 1.tunawahi namba,ukichelewa Kuna adhabu Kali sana sio poa 2.Hatutongozani,mambo ya maboyfriend na magirlfriend mnaacha getini ukiingia ndani NO LOVE ni kusoma tu 3.fimbo zipo wanangu,halafu walimu wengi wa...
  17. Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  18. Vijana waliomaliza VETA na hawana kazi serikali inawasaidiaje

    Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu...
  19. Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  20. Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…