Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu...