uyole

Uyole is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 12,722 people in the ward, from 11,543 in 2012.: 95 : 119

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    Dkt. Tulia agawa mchele kwa kaya 130 jimbo la Uyole, aahidi kuwapa fedha kwaajili ya mboga siku ya sikukuu

    Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
  2. PAYE

    Dkt. Tulia Ackson aijengea nyumba familia iliyopatwa na janga la moto Uyole

    Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye Mwalyaje ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto katika kata ya Ilemi. Dkt.Tulia...
  3. October 2pm

    Nawasili Uyole hehee hapa mambo yaiva

    Hehee! Kheri wanangu. Mefika muda huu uyole mambo yako biyee. Kesho twajua wapi twaanzia. Wana maendeleo mupoo. Hehehee hakikisheni wajilinde na familia zao. Hehee na bado. Walifikiri siye Bibi zao. Mpaka watuambie miili iko wepi. Tokeni na mabango msisahau kujidhatiti mana fedhuli haishiwi...
  4. JamiiCheck

    SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  5. Influenza

    GE2025 Mgombea Ubunge wa Uyole, Dkt. Tulia Ackson apiga kura. Awahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole mkoani Mbeya, ambaye pia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kutimiza haki yao ya msingi ya kikatiba. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2025, mara baada ya kupiga kura katika...
  6. Just Pray

    GE2025 Dkt. Tulia aahidi ukarabati wa madarasa Uyole

    Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Ya CCM Akihutubia Mkutano wa Kampeni katika kata ya Iduda, Dkt Tulia amesema...
  7. Just Pray

    GE2025 Uyole: Dkt. Tulia aahidi kujenga barabara ya lami kata ya Ilomba

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Tulia Ackson ameendelea Na kampeni zake katika Kata Ya Ilomba na Kuahidi Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara,Afya,Elimu na Umeme
  8. Nipe Maji

    GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
  9. Just Pray

    GE2025 Amkeni huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole

    Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo tunakuwa wapiga magoti. Hii Picha ya Jenista Mhagama ni mfano mzuri Mbunge Wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  10. Just Pray

    GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

    Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa...
  11. Roving Journalist

    GE2025 Mwandishi wa Habari apitishwa na CHAUMMA kuwania Ubunge Jimbo la Uyole dhidi ya Dkt. Tulia

    Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
  12. Huihui2

    GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

    ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini. Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
  13. Huihui2

    Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

    Kumeanza kuchangamka. Hapo ni Nsalaga jimbo jipya la Uyole.
  14. Just Pray

    GE2025 Yusuph Mwambete achukua Fomu kugombea Udiwani kata ya Ilemi Jimbo la Uyole

    Yusuph Mwambete amechukua Fomu kugombea Udiwani kata ya Ilemi Jimbo la Uyole
  15. Just Pray

    GE2025 Dkt. Seria Masole Shonyela achukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole

    Dkt. Seria Masole Shonyela amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Uyole kwa dhamira ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote, bila ubaguzi. Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo, Dkt. Shonyela amesema ana nia thabiti ya kushirikiana na wananchi katika kutatua changamoto mbalimbali...
  16. K

    Uyole raha sana waku

    Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/= Totall 5,200/= Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu. Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
  17. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  18. Just Pray

    Uyole: Wanne wanaswa wakiwa na zaidi ya kilo 100 za bangi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi yenyewe ujazo wa kilogramu 164...
Back
Top Bottom