uwekezaji

  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

    Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
  2. JamiiForums Tanzania FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  3. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania yafungua milango ya uwekezaji kwa Saudia Arabia, yasisitiza uchakataji wa bidhaa nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati nchini Tanzania. Prof. Mkumbo amebainisha kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri ya kuisaidia Saudi...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zaahidi kuendeleza ushirikiano katika nishati, afya na uwekezaji

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika, ikichangiwa na uwekezaji katika sekta madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu

    Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika na kwamba uwekezaji katika sekta mbalimbali, hususani madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu, unatarajiwa kutoa msukumo mkubwa kwa ukuaji wa uchumi. Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  9. JamiiForums Tanzania Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania

    Je, unatamani kuwekeza kwenye Soko la Hisa Tanzania lakini hujui pa kuanzia? Au unataka kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa kutumia uchambuzi wa kitaalamu? Kozi ya Uwekezaji Katika Soko la Hisa Tanzania ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili kwa wanaoanza...
  10. JamiiForums Tanzania Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

    TAARIFA KWA UMMA DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE. Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE Usibofye. Usishiriki. Usitume pesa. Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya uwekezaji nimeufanya (Saloon)

    Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k. Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu...
  13. JamiiForums Tanzania Viwanja na Maeneo ya Uwekezaji tunayouza kwa sasa

    MAENEO YA UWEKEZAJI NA MAKAZI YANAUZWA KWA SASA! Mbezi Luguruni Heka 3 Lina nyumba kubwa ndani Mita 150 kutoka Morogoro Road Bei: TSh Bilioni 1.5 Mbezi Makabe Heka 1 Mita 200 kutoka barabara kuu ya Makabe Bei: Milioni 180 Mbezi Msakuzi Heka 1 Bei: Milioni 80 Mbezi Msumi Heka 1 Bei...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  15. JamiiForums Tanzania Safari ya dk. Samia, Nchini Urusi ni zaidi ya ziara za kawaida; ni fursa, ni uwekezaji" – Mchange

    _ Mwenyekiti wa MECIRA asema matunda ya safari ya Moscow na St. Petersburg yataonekana kupitia biashara, teknolojia, elimu, uwekezaji, ajira na masoko mapya ya bidhaa za Tanzania MWENYEKITI wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kongamano la Uwekezaji Tanzania-Urusi Lafana

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Wanazi wa Mabasi: Huu Ndiyo Uwekezaji Sasa!

    Mugonile/Mlivyedi Привет hii ni kutoka hapa chuo kikuu cha RUDN. Moja kwa moja kwenye hoja. Nawapongeza wawekezaji kama huyu jamaa ambaye nasikia ni kutoka nyanda za juu kusini huku mbeya. Hizi ndiyo mashine za kazi sasa na hapa kachukua nne kwa mpigo, hii nampa 👊🏾 sababu angeweza kushuka...
  19. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  20. JamiiForums Tanzania BRELA NA UTT AMIS WAWANOA WANAFUNZI WA UDOM KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…