uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za mpira zimezikwa rasmi uwanja wa Amani, sasa tugeukie siasa za mabadiliko ya sheria za uchaguzi

    Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana. Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana. Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  3. JamiiForums Tanzania Samia baada ya kuupiga mwingi sasa anacheza nje ya Uwanja kabisa

    Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu. Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa...
  4. JamiiForums Tanzania Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  5. JamiiForums Tanzania Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Simba uwanja wa elfu 15 mpaka sahivi bado hawajaujaza

    Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
  7. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  8. JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  9. JamiiForums Tanzania TFF iliwayumbisha Simba na Serikali kuhusu uwanja wa fainali CAF

    Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha? Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  11. JamiiForums Tanzania Simba waende Cas kupinga UWANJA ....

    KUpata ujinga kama huu andika Tukutane ZNZ KWENDA namba 15770
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  13. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa haufai kucheza Mechi kubwa.

    Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
  14. S

    JamiiForums Tanzania "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  15. JamiiForums Tanzania Na final CRDB YANGA wasikubali uchezwe kwa mkapa ule uwanja sio siooo

    Kama CAF Wamesimama MSIMAMO WAOO NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  18. JamiiForums Tanzania Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  19. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  20. JamiiForums Tanzania Kama nchi we should be ashamed of ourselves kwa hili la uwanja

    Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chao hata mvua Gani inyeshe panakua Pako kama hapajanyesha, hata tumeshindwa kuwatumia mainjinia wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…