uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

    Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana. Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi...
  4. JamiiForums Tanzania Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  5. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa ni eneo gani mtu akikaa anaona mechi vizuri kuliko maeneo mengine?

    Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

    Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia...
  8. JamiiForums Tanzania Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  10. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu upoje wa kupokea parcel kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa

    Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
  12. JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Vyoo vya Uwanja wa Sokoine ni vichafu sana, wahusika hamjali afya za Wateja wenu

    Waungwana hivi ni viwanja vyote ambavyo vina changamoto ya vyoo au ni Sokoine Stadium tu hapa Mbeya. Maana huu uwanja vyoo vyake ni changamoto kubwa, ni vichafu balaa na hakuna maji kabisa. Wamiliki wa uwanja embu jitahidini basi kurekebisha vyoo kama mnavyo pambana kurekebisha sehemu ya...
  13. JamiiForums Tanzania NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  14. JamiiForums Tanzania Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja. Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Simba ikifungiwa itaujaza uwanja wa Uhuru na shangwe zitasikika

    Kuna watu waliokatia tamaa maisha, wikendi hii wakavalisha wenzao Sanda ili kuichafua image ya Simba iliyojengwa kwa muda mrefu kwa machozi, jasho na damu. Sasa hivi hao watu wanapiga kelele kutaka Simba ifungiwe kuingiza mashabiki, wanadhani CAF ni shangazi zao. Watu wanachukulia mambo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

    Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
  18. JamiiForums Tanzania Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

    Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha Mashabiki hao wameng'oa...
  20. JamiiForums Tanzania Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

    Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…