uwanja wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    Viti kutoka uwanja wa taifa kupelekwa uwanja wa Jamuhuri Morogoro

    Kimpira ni jambo la manufaa sana. Itapendeza siku moja uwanja wa Jamhuri uwe na hadhi ya CAF. Ila kitechnical ni sahihi viti vya uwanja wa umma kupelekwa uwanja binafsi? ==== Meneja wa Uwanja wa Jamhuri uliopo Mkoani Morogoro, John Simkoko amesema uwanja huo unatarajiwa kufungwa viti ambavyo...
  2. M

    Makonda: Kuna timu ilichimba nyasi uwanja wa Mkapa, ikaweka Dawa na kusababisha fangasi kisa ushirikina

    Waziri wa habari, sanaa,utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuna timu iliingia uwanja wa Benjamini Mkapa, ikachimba Nyasi za uwanja na kuweka dawa ambazo zimesababisha uwanja kuzalisha fangasi na kusababisha hasara kwa Taifa. Amezitaka timu kuwekeza nguvu kwenye mazoezi, kutafuta...
  3. The Palm Beach

    Hizi ndo siasa za Bongo. Nimeangalia picha hii iliyopigwa jana uwanja wa taifa, Mama Kizimkazi akipigwa na Morocco, basi nimejikuta nacheka 😀😀😀tu

    The photo - picture speak by itself. What message do get in this picture..? #NoReformsNoElection #Kula kwa wahuni, kulala CHADEMA #FreeTunduLissuNow
  4. Z

    Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
  5. Pdidy

    Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki

    1. Tukio la Simba SC kuingia uwanjani na jeneza ni kumbukumbu ambayo itaendelea kuwatesa mioyoni mwao – historia haifutiki. 2. Waliingia kwa mbwembwe, jeneza juu ya mabega – lakini kilichowasubiri uwanjani ndicho kilichowachoma zaidi. 3. Jeneza walilobeba halikuwazika wapinzani, bali...
  6. Frank Wanjiru

    Ali Kamwe: Kasongo alisema Kuna Kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu geti la Uwanja wa Taifa lisifunguliwe

    “Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu ya mchezo namba 184 wa Ligi Kuu. “Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea...
  7. Abraham Lincolnn

    Mwana FA, Gerson Msigwa na viongozi husika watueleze zaidi ya Bilioni 30 za ukarabati uwanja wa Mkapa tangu 2023 ziko wapi?

    Ni maajabu ya karne! Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa. Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja...
  8. GENTAMYCINE

    Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  9. Waufukweni

    VIDEO: Mwonekano mpya wa Uwanja wa Mkapa, sehemu ya kuchezea kama majibu kwa CAF baada ya kuufungia

    Wakuu Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa angalizo kama hawatashughulikia tatizo haraka wataufungia kwa muda mrefu. Hatua hii ni kama majibu kwa...
  10. CAPO DELGADO

    NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  11. K

    Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  12. Mpigania uhuru wa pili

    Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

    Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
  13. Roboti Wa Nape

    Kwa hili: Nawapongeza mashabiki wa simba na walinzi wa uwanja wa Taifa kwa ubaya ubwela waliowafanyia waarabu leo

    Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu. Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti na kuanza kufanya vurugu hakikubaliwi na mtu yoyote na kwa namna yoyote ile. Binafsi nawapongeza...
  14. ngara23

    Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

    Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha Mashabiki hao wameng'oa...
  15. MakinikiA

    Kuna viongozi wengine hawatakiwi kuwa uwanja wa taifa hawana upepo wa ushindi

    Hili jambo limekaa kiroho zaidi Na Kwa kusisitiza Raisi Wa TFF bora asiwepo uwanjani najua ni ngumu Kwa itifaki ila ukweli ndio huo.
  16. L

    Kesho ni kufa na kupona uwanja wa Mkapa, tuhamishie waganga wote wa jadi uwanja wa Taifa ili tusidhalilike

    Kesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla. Kiukweli umoja na mshikamano wa watanzania kesho ni muhimu sana kuliko wakati wowote ule, silaha zote kesho zihamishiwe...
  17. Kitchener

    Kufuzu CHAN | Tanzania 1 (5) - (6)0 Sudan | Uwanja wa Mkapa

    Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa. Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa CHAN 2024 QUALIFIERS 70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan ⚽️ Chrispine...
  18. DELETED ACCOUNT

    Hili goli la uwanja wa taifa lina bahati mbaya?

    Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile. Nikikumbuka hivi karibuni: 1. Penati ya Mukwala...
  19. A

    KERO Vyoo vya Uwanja wa Benjamin Mkapa ni vichafu na vibovu sana

    Nasikitika sana
  20. L

    Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
Back
Top Bottom