uwanja wa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Makonda: Kuna timu ilichimba nyasi uwanja wa Mkapa, ikaweka Dawa na kusababisha fangasi kisa ushirikina

    Waziri wa habari, sanaa,utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuna timu iliingia uwanja wa Benjamini Mkapa, ikachimba Nyasi za uwanja na kuweka dawa ambazo zimesababisha uwanja kuzalisha fangasi na kusababisha hasara kwa Taifa. Amezitaka timu kuwekeza nguvu kwenye mazoezi, kutafuta...
  2. M

    MwanaFA anatufokea kwa kuonesha magari makali. Sanaa ilimlipa au chenji za ukarabati wa Uwanja wa Mkapa?

    Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa tu tena yakiwa kwenye maegesho yanakula kiyoyozi aka full kipupwe. Yes, MwanaFA ni msanii mkubwa...
  3. Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa, Yanga na Simba kutafuta viwanja vingine kwa mechi za Ligi na CAF

    Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen ni kuwa Simba na Yanga watalazimika kutafuta viwanja vingine kwasababu dimba la Benjamin Mkapa litaendelea na matengenezo makubwa mwezi huu hivyo kupisha mchakato huo matumizi ya uwanja huo yatafungwa kwa muda. Uwanja wa Mkapa umefungwa kwa kipindi cha miezi...
  4. P

    Kususwa kwa Salaam za Rais jana uwanja wa Mkapa ni kiashiria kibaya sana

    Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada. Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe...
  5. Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  6. SI KWELI Rais Samia ameomba CHAN iwachukulie hatua Kenya kwa kununua tiketi uwanja wa mkapa

  7. Uwanja wa Mkapa upo tayari kwa Mbungi la CHAN

    Mwonekano wa Uwanja wa Benjamini Mkapa 'Lupaso' upo tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN2024 Agosti 2, michuano ya CHAN itaanza kwa mara ya kwanza kutimua vumbi katika ardhi ya Tanzania. Mechi ya ufunguzi itapigwa katika dimba hilo baina ya Taifa Stars na Burkina Faso. Kumbuka bado siku 5.
  8. U

    TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

    Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
  9. Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  10. Muonekano wa dimba la Mkapa kuelekea mechi ya Dabi, Yanga dhidi ya Simba

    Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
  11. TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  12. Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

    Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC. Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye...
  13. Yanga ndiyo timu pekee kuwahi kucheza fainali CAF uwanja wa Mkapa, Kwa maana nyingine uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ajili ya Yanga

    Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
  14. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa haufai kucheza Mechi kubwa.

    Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
  15. Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  16. Simba taarifa walipewa na nani kuwa mechi itachezwa uwanja wa Mkapa?

    Nataka kujua tu sio kwa ubaya, yaani ilikuwaje mpaka wakatangaza viingilio na kuanza kuuza tiketi. Taarifa walipewa na nani?
  17. Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

    Wataalam kutoka uturuki wakikarabati pitch (eneo la kuchezea ) Benjamin Mkapa stadium
  18. Ahmed ally acha kudanganya wana Simba, ati maandalizi kwa Mkapa yaendelee tutawambia uwanja wa marudiano baada ya mechi

    Kati ya watu wasiona aibu kwenye hii nchi n Ahmed Ally msemaji wa Simba Sio kwa kusikia angalien arise n shine taarifa ya habari anahojiwa anasema wanachama msiwe na shaka tumesikia fununu marudiano uwanja wa aman Naomba msitoke mchexon maandalizi ya kwa mkapa yanaendelea kama kawaida tufocus...
  19. A

    Heche tumia weaknesses ya serikali inayotrend-sasa kutapeli watu kuhusu matengenezo hewa uwanja wa mkapa kama mtaji wa kisiasa

    Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana. kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili michezo na wasanii...... Nashauri Chadema nao wapige hapohapo kwenye mshono. John heche, hebu badilika...
  20. R

    Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…