uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tatizo ya sasa haina uwajibikaji! Yaani watu wanakufa kufa na kutekwa viongozi wapo tu!

    Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
  2. Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  3. Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  4. "Majibu ya Mnyika : Rais Samia Asisitiza Haki, Uwajibikaji na Uchunguzi Huru"

    TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
  5. Kutekwa na kuuawa watanzania na tafsiri ya uwajibikaji

    KUTEKWA NA KUUAWA WATU NA TAFSIRI YA UWAJIBIKAJI. Hayati Ali Hassan Mwinyi wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi (1975-1977) alijiuzulu nafasi yake ya Uwaziri kwa sababu ya kosa la kiutendaji la watendaji wa Wizara yake lililogharimu maisha ya Watanzania kadhaa. Historia ikaandikwa...
  6. Ni wakati sahihi wa IGP kujiuzulu ama Rais achukue hatua

    Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo. TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
  7. Watanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

    Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana. Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha...
  8. PreGE2025 Kwanini hawakamatwi kwenda kulisaidia Jeshi la Polisi baada ya kutenguliwa? Ni mpaka wawe wapinzani?

    Wakuu, Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao. Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu...
  9. Kwanini huyu Mheshimiwa asijiuzulu kuonesha uwajibikaji?

    .
  10. I

    Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  11. Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao. "....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
  12. Huwezi ukakuta mambo haya yanafanyika katika nchi bora zinazojielewa

    Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+ Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi wame tupendelea tu. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2...
  13. S

    Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais

    Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni. Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za...
  14. CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  15. R

    PreGE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

    Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking! Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi...
  16. Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

    Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo' Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa...
  17. Waafrika bila shaka tunaanza kujitambua

    AMANI INAPIGANIWA UHURU HUPEWI BALI UNAPIGANIWA/AFRIKA WAMEJAA MATAPELI. ✓Julius MALEMA ANAKWAMBIA ya kwamba Mataifa ya Afrika magharibi wakiwa huru na kuachana na Mfaransa basi Mfaransa lazima ataangukia Pua katika Siasa na uchumi WA Dunia/Ufaransa ni matapeli Wa MDA mrefu Sana uko Afrika...
  18. Kwa hiki wanachokifanya DP WORLD bandarini, maadui zetu wakubwa ni viongozi wetu walioruhusu upuuzi kudumu muda mrefu

    Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na...
  19. Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

    Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu. Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha. Pia soma: SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na...
  20. B

    Kusuasua kwa harakati za ukombozi nchini ni matokeo ya uongozi dhaifu

    Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia? Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa? Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao? Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…