uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Tusisubiri Rais atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa. Hata kama amevunja katiba yeye pia anakosea

    Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  2. Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  3. B

    Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

    Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua. Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
  4. Ni huduma gani nchini haijajaa malalamiko ambayo tunaweza kusema kwa 90% serikali imetenda?

    Wakuu, Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri? Si kwa huduma za 'bure' wala ambazo tunachangia ambazo zimefanywa kwa ufanisi. Kote kumejaa makando...
  5. M

    PreGE2025 Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a

    Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...
  6. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  7. Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  8. Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  9. G

    Nilivyoweza kujinasua kwenye gharika la ndugu omba omba, Nilionekana mbahili lakini wanaanza kunielewa, pesa yangu siwezi kuitoa bila uwajibikaji

    Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama hadi wa mke. Katika vitu ambavyo ningependa kuvijua tangu mwanzoni ni hivi Usije kutaja kipato...
  10. PreGE2025 Kwahiyo Mchengerwa wananchi wakitumia huduma mbovu ni sawa ila wakimpatia huduma hizo kiongozi ni Uhalifu?

    Wakuu, Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia. Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu...
  11. Kumradhi haitoshi! Wananchi tufidiwe tunapokoseshwa huduma stahiki

    Wakuu, Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi? Uwajibikaji uko wapi? Kwamba sisi ni waelewa sanaaaaa na hasara na usumbufu wote tunapitia hauna maana...
  12. Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  13. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  14. Mbunge CCM alalamika bungeni kuwa awasikilizwi, pia taarifa za CAG zinapuuzwa

    Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
  15. Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

    Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia. Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake. Hana uwezo hata chembe. That says a lot ueledi wa civil services, It’s a shitty county (ndio uhalisia).
  16. Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
  17. Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua aondolewa madarakani

    Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President. ===== Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani. Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
  18. LGE2024 Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo

    Wakuu, Jiwe limerushwa gizani, wakuu mjitokeze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na baadaye uchaguzi mkuu, vyote ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. ====== Tumeongozwa na Rais Samia Kwenda kujiandikisha ikiwa ni siku ya kwanza yah atua ya mwanzo ya wananchi kushiriki kwenye...
  19. Rais Samia aambiwe kwenye uongozi kuna Wajibu na Uwajibikaji

    Kumekuchaje wanajamvi? Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui. Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki. Mambo...
  20. Kila mtu analalamika nchi hii: Ukingo wa kujiliwaza dhidi ya makosa na kukwepa uwajibikaji

    Katika hali inayoumiza na kusikitisha ni namna tunavyoyajadili masuala makubwa ya Taifa letu. Nimepitia maandiko mengi, mijadala mingi na hotuba kadhaa ila nilichokibaini nimekipa jina mchezo wa lawama "blame game". Inaweza kuonekana kama lugha kali kidogo kwa wakubwa ila hakuna lugha nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…