Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa Jeshi la Wanamaji. Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya China.
Maafisa hao wamefukuzwa...