Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100%
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi huo umegharimu Shilingi bilioni 280, fedha zote zikiwa za ndani, na unatarajiwa kuchochea uchumi wa...