uvamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

    Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo. Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
  2. S

    JamiiForums Tanzania Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

    Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar

    Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape aanzishe haraka uchunguzi wa sakata la uvamizi Clouds Media

    Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje? Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika...
  5. JamiiForums Tanzania Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

    BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI! Kwa Mkono wa Robert Heriel. Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mhindi alivyovamiwa na kuibiwa hela na lundo la vibaka kwenye Bodaboda Kampala Uganda mchana kweupe

    Mzuka wanajamvi! Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi million 5 tiuu za Uganda. Tukio hilo lilitokea mchana kweupe na lilinaswa na CCTV na polisi...
  8. JamiiForums Tanzania Uvamizi wa ardhi nchini ni tatizo kubwa

    Kuna dhana inayojulikana kama Guerrilla Urbanization, miji kukua hovyo bila kufuata utaratibu ambayo pia inakuja na element uvamizi wa ardhi kwa kiasi kikubwa. Kwa kipindi kirefu mchezo huu umekuwa ukiitafuna Pwani & Dar es Salaam. Na kama hatutatafuta muarobaini itakuwa ni the new norm Shida...
  9. JamiiForums Tanzania Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  10. JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Mwanahabari Absalom Kibanda TAARIFA ZA AWALI Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Mhariri Mtendaji wa Gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea avamiwa na kumwagiwa tindikali akiwa ofisini kwake

    Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye. =========== Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…