utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi na roho ya korosho!

    Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo. Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii kauli " MAAFISA UTUMISHI WANA ROHO MBAYA SANA" na hawaishii hapo wanaenda mbali kwa kutoa shuhuda...
  3. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wenu kwenye interview utumishi kada ya msaidizi wa hesabu II

    Msaada kwa wanaohitaji aptitude interview questions kada ya msaidizi wa Kumbukumbu II, nimeyaambatanisha maswali na mshindwe nyie tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kufanya oral & written interview kwa kada ya public Administration utumishi, interview zao zikoje?

    Hello Guys I hope you are doing well, naomba usaidizi kwa swali nililoulza hapo juu. Natanguliza shukran.
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja. Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
  7. JamiiForums Tanzania Materials za maandalizi ya Interview za PSRS UTUMISHI (Civil Engineers)

    Habari ndugu wana JF. Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024. Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine. Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa...
  8. JamiiForums Tanzania Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini ajira za TRA zinakiuka kanuni za utumishi? Je, wako juu ya sheria?

    Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi? Kuna paper 14/06/2025. Tupeni muongozo bwana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Habari zenu wakuu. Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake. Written interview...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Admission officer ii nactevet kupitia utumishi wanauliza maswali gani?

    Wakuu Niko nyavuni na hawa jamaa wa utumishi,by 14 June natakiwa kupiga written ya admission officer ii mwajiri ni NACTEVET. Mwenye kujua maswali ya written wanayouliza hawa jamaa wa utumishi atupe dondoo hapa.
  15. JamiiForums Tanzania Online writen interview za Utumishi wanatoa vipi maksi?

    Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi? Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na...
  16. JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Wadau, hebu tuzungumze kwa moyo mmoja… TRA waliomba mamlaka ya kuajiri ihamie kutoka UTUMISHI kuja kwao, wakisema wataongeza ufanisi na uwazi kwenye mchakato wa ajira. Lakini tangu waanze kuendesha ajira wao wenyewe, hali imekuwa ya kutia shaka. Mwaka 2023 walifanya usaili lakini hatukuona...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  18. JamiiForums Tanzania Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Hadi leo sijaitwa Utumishi

    Nimefanya usaili Utumishi 25th March 2025 Hadi leo akuna majibu. Kwani maximum huwa ni muda gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…